Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Tuna maswali kadhaa ya kujiuliza je demokrasia ni kubadilisha utawala mmoja na kwenda mwingine kwa njia ya kura? mantiki nzima ya demokrasia iko katika hili tu au ni zaidi ya hapo? je demokrasia...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa wakazi na washaija watumiao Bandari Street, ile barabara ya kutokea Gerezani Ilala mpaka mzunguruko wa barabara ya Bandari na ya Kilwa, aghalabu pana foleni ndefu inayosababishwa na reli...
6 Reactions
1 Replies
4K Views
Pongezi lukuki kwa juhudi za Serikali-Mtandao, mfano mzuri ukiwa Government electronic Payment Gateway (GePG), mfumo wa malipo ya kielektroniki kwa serikali. GePG imeleta maboresho makubwa kwa...
22 Reactions
3 Replies
9K Views
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU! Uthubutu...
49 Reactions
96 Replies
22K Views
Nashukuru nilipata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi zilizoendelea na zile ambazo bado. Safari hizo zilinipa fursa ya kutafuta jibu la maswali yaliyosumbua kwa miaka mingi: 1. Mataifa...
3 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia...
37 Reactions
65 Replies
21K Views
Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea'...
30 Reactions
7 Replies
14K Views
Najiuliza ni kiasi gani Spika na maamuzi ya kumsulubu CAG kwa wiki mbili na kulifanya jambo la kujaza kurasa za magazeti kuongelea kauli ya CAG na matumizi ya neno dhaifu..... na sasa ripoti...
11 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni watu wenyewe ndio hufanya taifa likue na liendelee. Serikali ina nguvu kidogo sana ya kufanya hili litokee. Nguvu kubwa imelala kwa wananchi. Serikali ni mratibu tu. Lakini watu ndio wenye...
36 Reactions
1 Replies
4K Views
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni umaikini, umadhubuti, uwajibikaji wa usimamizi wa kanuni, sheria hata katiba! Si kweli kuwa sheria nyingi ni dhaifu, butu au hakuna "makali" ya...
10 Reactions
5 Replies
5K Views
Najiuliza.. Leo mwanasiasa anakuja jimboni na kusema nitawaletea pikipiki, nitanunua lori, na wananchi tunashangilia na kumpa kura zetu kwa kuwa kaahidi kutuletea pikipiki na lori. Leo chama...
21 Reactions
11 Replies
7K Views
Nasikitika sana kuona member wanao unga mkono uzi ulio pewa jina sawa na uzi huu usemavo apo juu, na kumpa like. Nanukuu kauli.. "Cartoon pic" "Mtoto- baba ukitaka upande chati kisiasa...
8 Reactions
1 Replies
3K Views
Kufikiri kwamba watoto wetu watakuwa wenye tabia njema wakati sisi hatuna tabia njema ni kama kuwa na matumaini kwamba kunguru atazaa kuku siku moja. Tutawafundishaje tabia njema wakati sisi...
9 Reactions
2 Replies
3K Views
Taifa linalofanya mzaha kwenye maisha ya kifamilia haliwezi kuendelea, kwakuwa huko ndipo watoto hukuzwa na mazao yake kuonekana baadae katika ngazi ya Taifa. Na hao huingia katika taasisi zetu...
14 Reactions
3 Replies
3K Views
Tunachofikiri ndio tunachozalisha. Sisi ni zao la akili na mawazo yetu wenyewe. Aina ya taifa letu ni zao la mawazo yetu wenyewe liwe zuri au baya. Taifa hili tutalijenga kwa akili zetu wenyewe...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Dhana ya maendeleo imelala kwa watu. Iko kwenye kuwekeza katika watu na kuwapa uwezo, imelala katika maarifa. Watu wakiendelea ( wakiwa na skills na knowledge za kutosha) ndizo zinazofanya...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Tunahitaji kiongozi ambaye sio mwenye makuu na mwenye kutaka sifa, Sio muonevu na asiyependa haki, bali atakayetawala kwa haki na usawa. Lakini pia asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali. Kwasababu...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Awali: pongezi kwa wote wanaohusika na mradi huo wa kuboresha Jiji la Dar es Salaam. Pili: Wahaya wana msemo: ukienda kuomba maziwa, angalau basi uje na kihansi (kibuyu). Tatu: Barabara nyingi...
14 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom