Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana...
2 Reactions
66 Replies
18K Views
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na...
22 Reactions
71 Replies
18K Views
Wakubwa salaam, Ninawaletea hotuba yangu jimboni Kigoma. Asante HOTUBA YA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA UCHAGUZI JIMBO LA...
0 Reactions
152 Replies
18K Views
Tumeshaelewa hoja ya Lowassa, nadhani sasa ni wakati wa kuelekeza juhudi zetu katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu; Ni muhimu tukampongeza Lowassa kwa kuwa kiongozi wa kwanza nchini kulipa suala...
34 Reactions
116 Replies
18K Views
Kesho ndio lile sekeseke la kumpata Rais Bora wa Afrika, wastaafu, linaanza rasmi. Index inatangazwa kesho 25th Sept. Habari nilizo nazo za ndani kabisa ni kuwa ushindani mkali upo kati ya Rais...
0 Reactions
81 Replies
18K Views
YATAKAYOJIRI HOTUBA YA JK KESHO Sehemu ya I Hali ya taharauki imetanda Dodoma. Wabunge wakitishiwa kwa kamera 13 ndani ya ukumbi na viongozi 4 wa kundi linalompinga Sitta kukiuka taratibu...
12 Reactions
148 Replies
18K Views
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba maarufu aliyoitoa Bw. Oscar S. Kambona ambaye alikuwa ni Katibu Mkuu wa Chama cha TANU na Waziri katika Baraza la Nyerere. Hotuba hii ilitolewa Bungeni (Dar) na...
11 Reactions
76 Replies
18K Views
Maswali yamebaki bila majibu kwa muda mrefu sasa lakini cha kushangaza ni jinsi taarifa zinavyobadilika kila siku kuhusiana na nini kimetokea kwa ndege hii. Jambo la kwanza ilisemekana ndege...
47 Reactions
86 Replies
17K Views
TAARIFA za kiintelijensia zimebaini kuwa CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari, mgomo ambao umeendelea kwa siku kadhaa sasa na umehatarisha maisha ya wagonjwa wengi na umesababisha hata...
5 Reactions
82 Replies
17K Views
Wanajamvi; Wiki chache zilizopita za Saudi Arabia, UAE, Bahrain na washirika wengine waliamua kuvunja uhusiano na Qatar wakiinyooshea kidole kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi. Hatua...
3 Reactions
29 Replies
17K Views
It is time for Mr. Rostam Aziz to resign. It is time for him to call quit all his political posts within the ruling party including resigning as the current MP for Igunga. I for one have had...
2 Reactions
174 Replies
17K Views
MAPENDEKEZO YA MUUNDO WA BARAZA LA MAWAZIRI 2010- NA SABABU ZAKE Na. M. M. Mwanakijiji Ni mara chache sana katika kipindi cha utawala tunaweza kupata nafasi ya kutoa mawazo juu ya muundo wa...
0 Reactions
133 Replies
17K Views
Habari wana JF, Hali ya nchini kwetu Tanzania hadi hapa tulipofika kwa sasa haijalishi kuwa tunaenda wapi mana tayari tumefika pabaya… Kwa kundi ama hali yoyote ile ifikapo pabaya dawa...
50 Reactions
126 Replies
17K Views
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga Ikulu na kushika hatamu...
8 Reactions
161 Replies
17K Views
Leo ningependa tujiulize wote kwa pamoja ni nini haswa maana ya elimu ? Tujiulize, tutafakari, tujaribu kupata majibu, ni nini haswa maana ya elimu? Na kwanini watu wanapelekwa shule ? Na...
1 Reactions
1 Replies
17K Views
Tanzanians are notorious for political rhetoric and obsession at the expense of economic value. This habit has now evolved into a ‘culture'. The Tanzanian Parliament is actively legislating...
17 Reactions
145 Replies
17K Views
Napendekeza nadharia tete (Hypotheses) zifuatazo, lengo kuu ikiwa ni kutupa sote nafasi ya kuzipima nadharia hizi tete, kwa kutumia uzoefu wetu na uelewa wetu juu ya utamaduni wa CCM, hasa kwa...
19 Reactions
84 Replies
16K Views
US President in 2021 False Fraud Allegations True Fraud Allegations Remarks President Biden Jamii itawaona chama cha Republican na Rais Trump ni ving'ang'anizi...
7 Reactions
40 Replies
16K Views
The Beautiful Young African Woman And The Old White Lover-A Sickening Trend? Have you taken a quiet stroll through the priced restaurants in town on a good day or night? Especially the Accramall...
7 Reactions
21 Replies
16K Views
Mwaka 2015 sio mbali, na kwa mara nyingine tena watanzania tutapata fursa ya kutumia haki yetu ya kikatiba kumchagua mtu mmoja ambae tunaamini kwamba ndiye atakaefaa kutuongoza kama taifa katika...
15 Reactions
81 Replies
16K Views
Back
Top Bottom