Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Nikirejea mahojino kati ya Rais Kikwete na mwandishi wa BBC majuzi kuhusiana nasuala la umeme, hisia kadhaa zinakuja akilini mwangu, masikitiko, kicheko na hasira! Kama nilitarajia majibu yenye...
25 Reactions
292 Replies
26K Views
Wanajamvi Huu ni mwendelezo wa uzi wa https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/308989-duru-za-siasa-matukio-20.html Tutaangalia matukio mbali mbali yanayotokea nchini na dunia kwa nyakati...
11 Reactions
82 Replies
25K Views
CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga. Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata...
11 Reactions
185 Replies
25K Views
DEAR MZEE MATONYA WA UKWERENI.... Damn, Damn, Damn! Florida Evans would have cursed! Damn, Damn, Damn, Mchungaji Kishoka is cursing! Walahi huu Umatonya umetukaa fiti kama vile kushoneshewa...
1 Reactions
174 Replies
24K Views
Leo ningependa kuendelea kujadili jambo ambalo nimekuwa nikijadili kwa muda mrefu sana kuhusu maadili na nidhamu. Lakini leo nitajikita katika dhana yenyewe ya maadili na nidhamu na nitaongelea...
6 Reactions
27 Replies
24K Views
Uzi utakuwa maalum kwa matukio mchanganyiko yanayojiri katika dunia yetu Matukio ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Ni katika kupashana habari na matukio
7 Reactions
66 Replies
23K Views
Mimi nikiwa mmoja wa watu ambao tumeweka matumaini makubwa kwa chama cha Chadema kuleta mageuzi nchini nina ushauri mdogo sana kwa Zitto kuhusu SIASA zake na misimamo yake ambayo ndiyo sababu na...
76 Reactions
187 Replies
23K Views
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU! Uthubutu...
49 Reactions
96 Replies
22K Views
Paukwa......Pakawa... The house of cards crumbling! Inafurahisha kuona ni jinsi gani mwamko uliotufikia Watanzani tangu kina Jeetu Patel, Johnson Lukaza na hata sasa Basil Pesambili Mramba na...
0 Reactions
147 Replies
21K Views
Kuna wengine wetu tulikua wadogo mwaka 1995 kuweza kufuatilia kinyanganyiro cha uraisi mwaka huo. Ndiyo maana ningependa kujua zaidi nini kilicho jiri ndani ya CCM mpaka kupelekea kumteua raisi...
5 Reactions
193 Replies
21K Views
Wakati tunagombania ulaji wa Vitambulisho vya Taifa, ni lazima tuwe wakweli tujiulize huu uharaka wa kukamilisha hili zoezi, huku ukweli ni kuwa ni asilimia 25 (25%) au juu kidogo ndio watakuwa na...
0 Reactions
157 Replies
21K Views
Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia...
37 Reactions
65 Replies
21K Views
Somo la hisabati ni somo ambalo naweza kusema limekuwa ni daraja la mafanikio ya binaadamu kitaaluma (ambayo mpaka sasa duniani kote ndio kitu kinachochukuliwa kama mlango wa mafanikio ya kimaisha...
4 Reactions
99 Replies
21K Views
Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia...
12 Reactions
1 Replies
20K Views
Kumfahamu mtu yeyote ni lazima utazame historia yake ya utotoni aliosoma nao, aliocheza nao... walimu wake... walezi wake, majirani na kadhalika... Sasa sisi Tanzania ni nadra sana kusikia...
14 Reactions
68 Replies
20K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Ingawa huu ni mdahalo, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahitaji kuwekwa sawa ili kuepuka upotoshwaji wa hoja. Hivyo nitaomba uvumilivu kidogo. Taifa lipo...
29 Reactions
185 Replies
19K Views
Wanajamvi Katika mabandiko 4 yajayo tutangaalia hali ya kisiasa mbali na BMK Tutajadili mbinu na mikakati inayotarajiwa siku za karibuni Namna CCM wanavyohaingaika kujinusuru Na namna UKAWA...
16 Reactions
65 Replies
19K Views
Waraka wa Mchungaji kwa Watanzania Ndugu Mtanzania, Naomba kuwasilisha kwako waraka huu ukiwa ni mwamsho na na hamasa kwetu kama Wananchi na Taifa ili kulikwamua taifa letu kutoka katika...
1 Reactions
103 Replies
19K Views
Katika dunia ya leo, mataifa mengi yaliyopiga hatua kubwa kiuchumi na kimaendeleo na kupelekea maisha bora kwa wananchi wake, hasa kuanzia awamu ya pili ya karne ya ishirini (i.e. 1950s)...
18 Reactions
127 Replies
18K Views
Lifuatalo ni zoezi la utabiri juu ya mshindi Urais uchaguzi Mkuu 2015 baina ya CCM na Chadema; Lakini kabla hatujaenda kwenye hatua nyingine yoyote, ningependa kuwasilisha takwimu za idadi ya...
19 Reactions
115 Replies
18K Views
Back
Top Bottom