Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' .
Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa.
Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa...
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili
Spika asingeweza kutekeleza majukumu...
Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko...
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya...
Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili...
Uadui kwa taifa ni pamoja na kunyamaza wakati unajua ukimya wako unaangamiza wengi
Watanzania, Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwamba taifa bado ni moja na lina umoja ule...
Tofauti kati ya mtawala na kiongozi iko katika malengo yao ya kutafuta, kuchukua na kuyatumia madaraka.
Hiki ndio kiini cha uongozi na utawala. Kila kitu tunachokiona katika dunia kiwe kizuri...
Angalizo: Uzi huu ulishatumwa kwenye majukwaa mengine ya JF kwa kichwa cha habari tofauti kidogo.
Karibu
UTANGULIZI
Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna...
We must always remember this truth, we must always let this truth sink deep in our consciousness;
We will build our nation according to our own thinking, it depend on standard of our thoughts...
Researchers want to expand scientific terms in African languages including Luganda, which is spoken in East Africa. Pictured: student-teachers in Kampala.Credit: Eye Ubiquitous/Alamy
There’s no...
Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia.
Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma...
KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title)
Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore.
Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513.
Kimetafsiriwa na...
Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo.
Shule zilikua na...
Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa...
Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako."
Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana...
Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu...
Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu...
Swali jingine muhimu ambalo linaweza kuwa mwongozo ni kujua kwanini tunaelimisha watu wetu, Kama lile swali la mwanzo nililouliza kwanini sisi ni taifa? Ni swali la kimsingi katika kutengeneza...
This is the soul searching question
Why we are a nation?
And we come together for what purpose?
And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.