Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Kama chama chochote cha siasa hakitakusaidia uboreke zaidi katika fikra zako na katika tabia yako, na maono yako kuhusu maisha yako, na utaifa wako, na badala yake kikakufundisha kuwa mbinafsi na...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Raia wanapaswa kuiogopa serikali au kuiheshimu? Raia hapaswi kuiogopa serikali yake bali kuiheshimu atakapoiogopa serikali yake atakuwa anauza uhuru wake na kuwa mtumwa. Hivyo raia wasiogope...
9 Reactions
0 Replies
3K Views
Kule kwetu kuna msimu wenyeji hutafuta kitoweo cha panya. Utafutaji wa kitoweo hiki huhusisha kuchoma msitu ili kuwafukuza panya na baadye kuwakamata wanapokimbia kutauta kujiokoa na moto...
12 Reactions
0 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
0 Replies
4K Views
MAFISADI WA VIPATO VYAO Na Kahabi wa Isangula Kila ninaposikiliza hotuba za wanasiasa zote zimejikita kutuaminisha kuwa Serikali ndiyo tiba pekee ya matatizo yetu ya maendeleo ya kiuchumi...
12 Reactions
0 Replies
4K Views
Swali la kujiuliza tunawatayarishaje watu wetu kuingia kwenye ofisi za umma na katika utumishi wa umma? Tume wa train vipi watu wetu katika nidhamu zao na maadili. Binadamu hakui kama uyoga ni...
8 Reactions
0 Replies
3K Views
Nadhani kwa picha hii nitaeleweka kuhusu ubinafsi ambao nimekuwa nikionglea mara kwa mara na umuhimu wa umoja katika malengo. Weka taswira kwamba boti hilo kubwa ni Nchi. Imewabeba raia ambao...
69 Reactions
0 Replies
8K Views
Why is it that African leaders have become power mongers, from Museveni to Nkurunzinza, from Ali Mohammed Shein to Mugabe? How dare they claim democracy while they rig elections, cancel official...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Kilichotokea kimetokea huwezi kukibadilisha. Jukumu tulilonalo ni kujenga baadae mpya yenye matumaini na faraja. Kila mtu anapaswa kufahamu hilo. Ni lazima tufundishe akili zetu kutafakari na...
32 Reactions
0 Replies
3K Views
Moja ya vitu vigumu sana ambavyo napambana navyo na pengine labda sio mimi peke yangu na watu wengine ni subira. Wote tuna matarajio na matamanio ambayo tungependa tuyakamilishe. Matarajio haya...
11 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunapokua ni lazima ukuaji wetu uambatane na hekima na busara. Kwasababu binadamu sio ukuaji wa mwili tu bali pia ukuaji wake wa kiakli. Ukuaji wa binadamu sio kurefuka tu au unene au kutoka...
23 Reactions
0 Replies
4K Views
Kazi ya Mungu ni ya kiwango cha juu zaidi ya Kazi ya mikono ya binadamu. Ushahidi wa hili uko dhahiri machoni petu. Hata zile Kazi tunazoita zetu sio zetu. Kwasababu Mungu ndiye aliyetuumba na...
5 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wenye hekima maisha ni fumbo ambalo linapaswa kufumbuliwa. Na Dunia ni chuo ambacho binadamu anatakiwa kujifunza kila siku ili kufikia ukuaji wake wa mwisho kiakili. Chuo hiki ni kikubwa...
10 Reactions
0 Replies
3K Views
Isitokee hata siku moja tukafikiri watu kutoka nje watakuja kujenga umoja wetu na kuliletea maendeleo taifa letu, Kama tumeshindwa kujenga umoja wetu huku ndani, hakuna mtu, au taifa lolote...
18 Reactions
0 Replies
4K Views
Fikirishi za Ngumbalu 01 Palitokea mkulima aliyerithi shamba toka kwa babu zake wa kufikia baada ya kupiga kelele kwa majirani wa mbali pale alipochoka kuwafanyia kazi mababu hawa kama kibarua ...
10 Reactions
0 Replies
4K Views
Hivi pana sheria yoyote inayozuia biashara kufanyika usiku na mchana, siku saba kwa wiki (24/7) hapa Tanzania? Ni kwa nini basi biashara hizo hufungwa mapema, wakati wale waliokuwa maofisini...
20 Reactions
0 Replies
4K Views
FIKIRISHI ZA NGUMBALU 02: Baada ya kukupa kisa cha mkulima na sekeseke la Magugu Shambani, leo nakulete kisa kiitwacho Mkenge wa mfotoa picha na Kamera ya Nyumbani. SASA ENDELEA.... Yule...
6 Reactions
0 Replies
5K Views
Leo ningependa tujadili kitu kimoja ambacho nimekipata kwa jitihada kubwa, katika kutafakari na kusoma, katika kufanya jitihada kujua mambo na katika kufungua milango ya ufahamu wa ubongo wangu...
23 Reactions
0 Replies
4K Views
Katika taifa letu siku za hivi karibuni, watu wamekuwa wakiongelea kuhusu mabadiliko. Mabadiliko ndilo limekuwa neno ambalo liko katika vinywa na mioyo yao. Watu wamekuwa wakiliongelea kwenye...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom