Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Moja ya skill ya uongozi ambayo kiuongozi mzuri anapaswa kuwa nayo ni kusimamia agenda mpaka anaona mwisho wake, lakini pili kuifanya hiyo agenda iwe ya wananchi wenyewe kwakuwa wao ndio wajenga...
13 Reactions
0 Replies
3K Views
Raia wanapaswa kuiogopa serikali au kuiheshimu? Raia hapaswi kuiogopa serikali yake bali kuiheshimu atakapoiogopa serikali yake atakuwa anauza uhuru wake na kuwa mtumwa. Hivyo raia wasiogope...
9 Reactions
0 Replies
3K Views
MAHARAGWE UNILISHE, NKIJAMBA NI MKAIDI? Chonde Baba sinitishe, Ukimya si yangu Jadi Ili ujisahihishe, Kukosoa inabidi Kiakili nijishushe, kisa yako itikadi? MAHARAGWE UNILISHE, NKIJAMBA NI...
9 Reactions
0 Replies
3K Views
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kwa nini mambo yote yawe ya Muungano. Kufuatia mgogoro uliopo baina ya pande mbili za kisiasa kushindwa kufikia muafaka juu ya muundo wa serikali ningependa kusema tatizo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika binadamu kuna hazina iliyojificha ndani kabisa ya roho ya binadamu, Ni kazi ya fikra kuitafuta kwa kutafakari, na kwasababu pasipo kutafakari hazina hii haitofichuka Ni wajibu wetu...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
Sababu kubwa zinazohisiwa na watu kwa matokeo mabaya ya form four mwaka huu ni mgogoro kati ya serikali na walimu na ubovu wa shule za yeboyebo. Hata hivyo nadhani inabidi tujadili zaidi ya hapo...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni dhana ya ukabila/udini na umimi imekuwa inachukua nafasi kubwa sana hasa baada ya msuguano wa kisiasa kuonekana unakuwa mkubwa hapa nchini. Nakumbuka katika hotuba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kitu cha msingi na cha muhimu ambacho tunapaswa kutoa kwa watu wetu. Kitu ambacho kitatuunganisha na ambacho ndiyo msingi haswa wa uwepo wa taifa lolote. Bila msingi huo, hakuna taifa ambalo...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukitaka kuijua Marekani na CIA angalia hio mivie yenye title kill the messenger. Hii ni kwa ajili ya ma anko ruckus wote wanaojipendekeza na ulaya na kuona wazungu wao ni malaika. Sitataja majina...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Malawi yaiomba Tanzania kuahirisha mkutano wa mpaka Send to a friend Sunday, 09 September 2012 10:02 Madikizela at Mbamba bay SERIKALI ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya, kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu. hiko...
18 Reactions
0 Replies
2K Views
Mabibo Beverages Distributors wamekuwa wakitishia umma kuwa wanaotaka kufanya biashara ya kinywaji cha WINDHOEK ni lazima wawe mawakala wao kwa madai wao wana mkataba na wamiliki wa kinywaji hicho...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Obama kafanikiwa kutetea kiti chake cha urais. Uchaguzi umeenda haraka na kwa uwazi na matokeo yametoka bila kigugumizi. Mshindani wake kakubali matokeo na mwisho wa siku maisha yanaendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama ni ya Kisiasa je siasa gani tunataka? Na je siasa hiyo ndiyo itakayoweza kubadili hali duni ya wengi na kuleta hayo yanayodaiwa kuwa ni maisha bora? Na hayo masha bora ni yapi? Ni ya kisasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tangu Bunge la awamu hii lianze, kumekuwa na wingu kubwa la upuuzi unaondelea kiasi cha kuanza kutia kichefuchefu. Siku hizi ni rahisi sana kubashiri nini kitatokea leo bungeni na si kama...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako." Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana...
17 Reactions
0 Replies
2K Views
Science is a systematic enterprise that builds and organizes knowledge in the form of testable explanations and predictions about the universe. Aristotle: Science refers to the body of reliable...
7 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, natamani sana CCM ishindwe uchaguzi Igunga, lkn akili yangu haikubali kabisa kuwa CCM, hata ikishindwa; itakuwa radhi kuachia Jimbo la Igunga kwa sababu zifuatazo; 1. Kushimdwa na kuachia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nchi ni Organization kama Organization nyingine yeyote ufanisi wa nchi yeyote unategemea ufanisi wa element ambazo zinaunda taifa. Taifa lolote linaundwa na watu. Lakini kuendelea kwa taifa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunahitaji kiongozi ambaye sio mwenye makuu na mwenye kutaka sifa, Sio muonevu na asiyependa haki, bali atakayetawala kwa haki na usawa. Lakini pia asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali. Kwasababu...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom