Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

  • Closed
  • Sticky
Habari wana JF, Kama tulivyoahidi tarehe 19/11/2012 katika Jukwaa la Siasa (katika thread hii), leo tumemkaribisha Mhe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA, Zitto Zuberi Kabwe kama mgeni...
69 Reactions
57 Replies
156K Views
  • Sticky
Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya...
71 Reactions
51 Replies
85K Views
Achana na maandamano ya CHADEMA, miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na maandamano ya wamachinga. Mtu mmoja ambaye alitajwa kuwa msemaji wa wamachinga alirekodiwa akiwataka watu wengine wasiandamane...
3 Reactions
1 Replies
373 Views
Matokeo ya kidato cha nne yameacha kujadiliwa, kama kawaida waandishi wameripoti bila kwenda kiundani zaidi kusema matokeo haya yana maanisha nini kwa jamii. Hata hivyo kuna mtu ndani ya JF...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki...
2 Reactions
2 Replies
533 Views
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Shetani Kwa asili yake siyo mbunifu hata kidogo, sisi ndiyo tunampa nguvu kwa kutengeneza mapepo wenyewe "inverting demons". Kipindi tunajitengenezea taswira na picha za uongo shetani hujificha...
8 Reactions
0 Replies
1K Views
Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni Mungu Zaburi 76:12 Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia. Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa...
51 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu...
30 Reactions
0 Replies
4K Views
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi...
17 Reactions
11 Replies
5K Views
MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea...
10 Reactions
2 Replies
5K Views
Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa...
14 Reactions
34 Replies
5K Views
Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka...
11 Reactions
1 Replies
3K Views
Kesi ya ugaidi ya Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na Wenzake imeondolewa mahakamani Si sahihi kusema kesi imekwisha, Mahakama inaonyesha 'kuna kesi ya kujibu'' Si sahihi kusema kesi imekwisha...
14 Reactions
4 Replies
4K Views
Swali ni jinsi gani diaspora anaweza kununua Bond/T-bill za bank kuu ya Tanzania? Nimetafuta kwa mitandao sijapata jibu
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili Spika asingeweza kutekeleza majukumu...
21 Reactions
128 Replies
25K Views
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya...
8 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili...
11 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna...
32 Reactions
1 Replies
8K Views
  • Redirect
Angalizo: Uzi huu ulishatumwa kwenye majukwaa mengine ya JF kwa kichwa cha habari tofauti kidogo. Karibu UTANGULIZI Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna...
5 Reactions
Replies
Views
We must always remember this truth, we must always let this truth sink deep in our consciousness; We will build our nation according to our own thinking, it depend on standard of our thoughts...
22 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom