Featured Stories

Some stories featured on JamiiForums, just selected for you!

Fahamu mchakato wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa Urais

NEC_Kutangaza_Matokeo.jpg


Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za 2020 Kifungu cha 68 kifungu kidogo cha kwanza; Tume ya Uchaguzi baada ya kupokea matokeo ya awali ya Urais yatayoletwa kwao na wasimamizi wa Uchaguzi, baada ya kuhakiki itatangaza matokeo ya Urais kwa Jimbo husika.

Kifungu kidogo cha pili kinaeleza kuwa Tume kabla ya kupokea matokeo ya awali ya Urais kutoka kwenye...
 

President Magufuli exploits his incumbency

Lissu_Magufuli.jpg


Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory.

Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who is running for a second term in office. Hoping to upset their...
 

Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

Sext.jpg
Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo na wahusika wanaoonekana katika picha...​
 

Jifunze na uzijue nyayo za kidigitali, tambua namna ya kuzidhibiti uwapo mtandaoni

1597519083777.png
Nyayo za Kidigitali au Digital Footprint hizi ni taarifa za kipekee zinazokusanywa kutoka kwa mtumiaji wa Mtandao anapofanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao, anapofanya mawasiliano, miamala katika vifaa au majukwaa ya mtandaoni

Taarifa hizi zinaweza kutumika kufuatilia vitu anavyofanya na kupendelea mtu...
 

Uchaguzi 2020 Mambo ya kuzingatia ili usipate usumbufu siku ya kupiga kura

photo_2020-10-07_16-49-12.jpg


Ibara ya 5 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa haki kila raia aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane kupiga kura.Kwa mujibu wa vifungu vya 13(1), 13 (2), 35C, 61 (3)(a) na 63(1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 pamoja na kifungu cha 38 (1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Madiwani), Sura ya 292,Ili mtu aweze...
 

Fahamu kuhusu sanduku la kura na karatasi ya kupigia kura

79973022-D7A6-423B-8850-C8717E868FFD.jpeg


Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi kifungu cha 58 kifungu kidogo cha 1, sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila kuweza kuitoa

Kifungu kidogo cha pili kinasema kuwa kabla mchakato wa kupiga kura haujaanza, msimamizi kwenye kila kituo anatakiwa kuonesha sanduku la kura...
 

Jifunze mambo muhimu ya kuzingatia katika usalama wa barua pepe (Email)

1598264394065.png


Maana ya Usalama wa Barua Pepe (Email Security)

Usalama wa Barua pepe ni hatua zote muhimu ambazo zinatumia kulinda mawasiliano na taarifa zinazokuja au kutumwa kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine. Ulinzi huu unahakikisha hakuna Mtu asiyemlengwa au kuhusika / mdukuzi...
 

Kuzaa watoto wengi mfululizo kunaweza kusababisha Mama ajifungue Mtoto Njiti

mtoto_njiti.jpg


KUZAA watoto wengi ni mojawapo ya desturi zilikuwapo katika jamii nyingi za kiafrika, enzi za mababu zetu familia iliyokuwa na watoto wengi ilipewa heshima ya kipekee katika jamii.

Familia iliyopata idadi kubwa ya watoto ilijiona kuwa bora kuliko zingine na hapo baba mwenye familia husika alijiona kuwa ni shujaa.

Pamoja na kuwa...
 

Utaratibu wa Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya 2006

Kifungu namba 7 (a): Baada ya kupata taarifa rasmi na uthibitisho wa Daktari kuhusu kifo cha kiongozi huyo

Rais atatangaza kifo cha kiongozi huyo kwa kutaja tarehe, muda na sababu ya kifo chake

Rais atatangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa na bendera kupepea nusu mlingoti

Rais ataitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri

1595588104706.png
 

Attachments

 • File size
  337.3 KB
  Views
  29
 • 1.JPG
  File size
  53.8 KB
  Views
  0

Uchaguzi 2020 Mambo yanayotakiwa kufanywa na yale yasiyotakiwa kufanywa wakati wa uchaguzi

photo_2020-10-07_16-50-48.jpg


Mambo yanayotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa Mambo yanayotakiwa kufanyika wakati wa upigaji kura mpaka kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi ni pamoja na-

(a) vyama vya siasa na wagombea kuhakikisha kuwa mawakala wao wanakula kiapo cha kutunza siri siku saba kabla ya upigaji kura;

(b) mawakala wa vyama vya siasa, vyama vya siasa, wagombea na watendaji wa...
 

Teknolojia ya Alama za QR inavyoweza kubadilisha biashara yako

qr_Instagram copy_Twitter.jpg


Moja ya changamoto ya kutoa huduma yenye ushindani ni kutumia njia ya haraka na salama ya kutoa taarifa kuhusu bidhaa au huduma yako. Kama njia ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa, teknolojia inawezesha uwezo wa kuhifadhi taarifa kuhusu bidhaa au huduma katika mfumo utakaowezesha taarifa hiyo kupatikana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa...​
 

WATOTO NJITI: Njia salama za kumuweka Mtoto ili awe salama wakati wote

Zifuatazo ni njia zinazotumika ili kuhakikisha kuwa mtoto anawekwa katika mazingira ambayo yatamwezesha kuishi vizuri.

Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto.

Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze...
 

Je, wajua kufanya "Back up" ni njia moja ya ulinzi wa data katika kifaa chako?

1582721533031.png

Back up ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili hata akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata tena

Kuna majukwaa mengi yanayotoa huduma ya Backup kwa uchache ni Google Drive, One Drive, Team Drive, iCloud, SugarSync, MyPCBackup n.k

Aidha ya data ambazo...
 

Hongkong: Madaktari wadai COVID19 inaweza kusababisha uharibifu wa kudumu mapafuni

Lungs 6.jpeg


Madaktari kutoka Hongkong wametoa matokeo ya utafiti waliofanya kwa waliopona #COVID19 na kugundua athari ya udhaifu wa mapafu

Wakati wakitahadharisha kuwa ni mapema sana kufanya hitimisho la athari za kudumu za #CoronaVirus wamesema wengi wao wameonesha kushindwa kuhema vizuri wanapofanya shughuli za kawaida ikiwemo kutembea

Pia wamesema katika wagonjwa...
 

Je, una taarifa zozote za Rushwa?

Je, una taarifa zozote za Rushwa?

Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU.

Wasiliana na wakuu wa mamlaka hiyo kupitia namba zifuatazo;
1.Arusha…………………0738 150 063
2.Dodoma………………0738 150 070
3.Geita…………………..0738 150 078
4.Ilala…………………….0738 150 234
5.Iringa…………………0738 150...
 

Daktari aeleza athari za sigara, pombe kwa watoto, wajawazito

photo_2020-10-07_19-54-41.jpg


Daktari bingwa wa watoto kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Fransis Furia, amesema watoto wanaokaa na watu wanaotumia bidhaa za tumbaku kama sigara wako hatarini kupata saratani.

Dk. Furia pia alisema kuna madhara makubwa kwa mtoto aliyeko tumboni endapo mama mjamzito atatumia tumbaku au kukaa karibu na watu wanaotumia...
 

Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

1598608302576.png

Ndugu mwanaJamiiForums kila unachoweka mtandaoni ni uamuzi na uhuru wako lakini maamuzi ya watu wengine wafanye nini taarifa uliyoiweka hilo haliko kwenye mikono na uamuzi wako

Chukua muda wako na ujifunze kuhusu dondoo za usalama uwapo kwenye mitandao ya kijamii.
Pitia na urekebishe mipangilio ya faragha ya...
 

Uchaguzi 2020 Umuhimu wa kushiriki kupiga kura

UCHAGUZI 2020: UMUHIMU WA KUPIGA KURA KWENYE NCHI YA KIDEMOKRASIA

photo_2020-09-29_16-57-33.jpg

Katika Jamii ya Kidemokrasia ni muhimu kuhakikisha Serikali inafuata matakwa ya Watu na sio watu kulazimishwa kufuata matakwa ya Serikali hivyo ni muhimu kushiriki kupiga kura ili uwe mmoja wa waliochagua Serikali wanayoitaka

Uzuri...
 

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 28 Oktoba 2020: Ufahamu mfumo na Mzunguko wa Uchaguzi unaotumika Tanzania

1602080853629.png

Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8

Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine yeyote ndiye hutangazwa kuwa mshindi (First – Past – the Post). Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 41(6) ya Katiba ya...
 

Malezi ya Watoto Njiti: Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto

1601470757187.png

Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii huhusisha kumshika...
 
Top Bottom