Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Angalia mwenyewe hapo Chini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sababu Kuu ya Ziwa hili Kuwa na Ndege wengi sana Aina ya Flamingo ni Kwasababu Katika Ziwa hili Kunapatikana Bakteria Wengi sana Wanaozaliana na Hii ni Kutokana na Ziwa Hilo kuwa na Chumvi Nyingi...
13 Reactions
18 Replies
6K Views
Ziwe bongo flava, ziwe rnb, ziwe funk, ziwe rap, iwe rhumba, ziwe soul muhimu tu isiwe gospel au Kaswida. 1. Asante ya Sugu na Sele, kutoka kwenye album yake ya Muziki na Maisha. 'Chorus' yake...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
leo nimesikiliza nyimbo ya young killer ft banana zoro --badilika. Nimetokea kuipenda sauti ya banana zoro. Dah huyu mchizi anasauti si mchezo nashangaaa sikumjua siku zote hizo. So ilikua...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
1.Mtazamo- Afande ft Jay na Solo 2.Mzee wa Busara - Nature na Inspekta 3.Sikiliza - Jide, Fa na Ngwea 4.Jana na leo - Msodoki ft Stamina 5.Dhahabu - Dully ft Blue na Joseline Wewe kama mdau...
1 Reactions
46 Replies
14K Views
Iiyonibamba ni beautiful imperfection by Asa distant relatives by damian marley & nass. tiririka zako mwanakwetu
1 Reactions
24 Replies
5K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Mashabiki wa sanaa nchini na Afrika Mashariki leo Jumamosi ya Desemba 10 watapata kujua wasanii wa muziki na filamu watakaoibuka washindi wa tuzo kubwa kuwahi kufanyika nchini na Afrika Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kinavyouliza nani kakopi mwingine?. Mnijuze wakuu maana mie nipo huku kijijini KALINZI nimesikia zote zinapigwa muda huu kwenye redio mbao,Nikashindwa kujua ya nani...
0 Reactions
Replies
Views
Nautafuta wimbo mmoja wa enzi hizo amabo una lyrics hizi "Waniwekea fitina ninyang'anywe gari langu, Fitina mbaya, wivu ni mbaya, acha fitina weee jirani we acha'.
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Penzi aligawanyiki sehemu ya kwanza-sikuzaliwa wakati hizi nyimbo zinatamba lakini izi nyimbo kwa kweli zina nipa amani sana kila nikizisikiliza
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, Leo sijui imekuwaje nimekumbuka sana vitu ambavyo viliniliwaza miaka ya 80 -90+ hivi; Kabla ya ujio wa Tido muhando na kuibadili RTD, TVT na kuwa TBC taifa,FM na TBC kulikuwa na...
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Wadau mambo Vipi? Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf). Leo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
  • Redirect
Sabalakheri waungwana... Kuna dogo mmoja kaimba kawimbo kanaitwa "Zilipendwa" Waweza kukuta hata hawa hajawahi kuwasikia.... Wahenga: Mtambuzi KakaKiiza Kaizer, Bigirita Dark City mshana jr...
17 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
LINK HII HAPA CHINI zilipendwa band 1980,1990,mp3
2 Reactions
Replies
Views
Hakuna shaka kuwa nyimbo nyingi za miaka ya 70 mpaka 80 mwishoni zinaradha ya kipekee na kusisumua kwa hali ya juu. Hii ni kutokana na ustadi mkubwa wa wanamuziki wetu wa kipindi kile. Hiki ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muziki wa zamani ulikuwa na burudani ya aina yake. Mbali ya utunzi mahiri na uimbaji hodari, nyimbo nyingi zilitungwa kuelezea visa na mikasa iliyowahi kuwakuta wasanii husika. Kupitia uzi huu...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo; “Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom