A rhinestone-encrusted glove worn by Michael Jackson the first time he performed the Moonwalk has been sold at auction for $350,000 (£212,000).
The glove, among 70 items belonging to the late...
Tazama huu wimbo !
Kisha comment kuhusiana na matumizi ya jukwaa kwa wasanii wa nje , ukilinganisha na wasanii wetu hapa nyumbani.
Kwenye huu wimbo kuna mengi ya kujifunza kuhusiana na matumizi ya...
Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na...
Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma...
Tarehe 29-03-2006 alifariki mwanamuziki mahiri wa dansi SHABANI KISHIWA ambae alijulikana kama TX MOSHI WILLIAM mwaka huu ikifika 29-03-2013, Marehemu TX MOSHI WILLIAM atatimiza miaka 7 tokea...
Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea.
Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo...
Nimekaa sehem napata flash back za congo. Nawasikiliza kabasele, mabelee, boziana, defao, wenge n.k. Ni nyimbo tamu sana ambazo ziko kwenye collection. Najiuliza, zile enzi zimeenda wapi? Sasa...
"...ni wapi tuna kwenda?'
Ni wapi tunakwenda?
Shule namaliza nabaki najiuliza nitafanya kazi gani?
kwenye kila kampuni kazi hazipatikani
heri kwa watoto wa wakuu
wanaopata kazi kupitia wazazi
hii...
sisi ambao tumekuwepo miaka ya nyuma mika ile muzik wa zaile umetapakaa nchi na kwa ujumla bara zima la africa nadhan mnakumbuka kulivyokuwa na mpambano wa kukata na shoka kat ya kanda bongoman na...
Mchekeshaji na mwigizaji nguli nchini, Amri Athumani maarufu King Majuto
KWA UFUPI
Majuto licha ya uigizaji ni askari aliyepitia mafunzo baada ya kujiunga na JKT mwaka 1967.
Dar es Salaam...
Moses Nakintije Ssekibogo, maarufu kama Mowzey Radio, alikuwa Mwanamuziki wa Kundi la GoodlyfeCrew, pamoja na Weasel Manizo, waliotamba na nyimbo nyingi ikiwemo Breadandbutter
Mowzey Radio...
Miaka minne ya Daraja letu Ungana na Simon Mkina akikwambia na kukueleza nini maana alisi ya Daraja letu na wanafanya nini na wamefanyanini siku hii ya leo pale sabasaba blakukosa, bila kumsahau...
Dunia leo inaadhimisha miaka 19 toka gwiji wa HipHop Tupac Shakur alipopigwa risasi na Kufariki Dunia September 13 mwaka 1996.
Mengi yamezungumzwa kuhusiana na kifo chake, na kuna wengine...
Mwaka 2006 tarehe kama ya leo ilikuwa ya majonzi saana kwa wanafamilia na wapenzi wa utamaduni wa hip-hop na mziki wake jijini arusha, Tanzania na dunia kwa ujumla.
Father nelly au Nelson...
2008 to 2019
Asante mungu wangu kwa mafanikio ulio tupa familia yangu leo baba angu ni mwalimu mkuu mama anamiliki kituo cha kulea watoto a.k.a DAY CARE yani kwa life ya kiafrica sikuzan kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.