Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Mambo anayotufanyia mtangazaji Wa sibuka FM, in mambo ya ajabu anaacha kutangaza Mpira anatangaza matukio. Sio lazima kama hamna uzoefu Wa kutangaza Moira sio lazima mpekeke mtangazaji ni bora...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wanaoridhishwa na kazi zinazofanywa na awamu ya tano ni wengi kuliko wachache wanaokerwa. Watu wenye maadili na wasiopenda matusi kwenye nyimbo ni wengi kuliko wahuni. Wanaofurahi na wenye...
0 Reactions
4 Replies
621 Views
kwa wale wapenzi wa nyimbo za billboard chart,UK.top 40, na Electronic dance music (EDM SONGS) mpya mpya na kali za hatari angalia hapa kisha tafuta upakue ..hutajuta... N.B..sio kila wimbo mpya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
[emoji106]
0 Reactions
4 Replies
637 Views
Inasikitisha sana kuona tunalazimishwa kuangalia Movies zisizona viwango wala ubora. Na kuzuiwa kuangalia zenye viwango na za kusisimua.[emoji33]
1 Reactions
4 Replies
871 Views
Msanii anaitwa Nkunda star nimetokea kuipenda hii nyimbo japo sijui kisukuma jamaa kajitahidi sio mbaya sana ila kama katukana mfyuuuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
[Chorus] Mboka epanzani sango ee ee [The town is spreading rumours about me] Mboka epanzi ngai sango, balobi.. 'akoti lopitalo ee] [They are saying 'he is in hospital'] Balobi.. 'bamoni ye nga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii movie sijaiona. Ila kiukweli mimi si mpenzi wa bongo movie na kwa idadi ya movie za bongo nilizoangalia ni nadra sana kufika hata kumi. Hapo nyingi nimelazimishwa kuangalia kwenye mabasi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
"Truth In The World" I've been risking my life all these years Protecting you from all the wrongs you did, man I keep all this because of your promises You promise me that you will die when I die...
1 Reactions
4 Replies
790 Views
Naangalia mechi ya Barca na Villareal ila body language yao ni kama wamefiwa vile. Au ndio washakubali kukosa Ligi?
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Wakuu wana JF, Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi! Wewe una...
1 Reactions
4 Replies
846 Views
Achana na Wizkid,Davido,BurnaBoy,Tecon,Yemi Alade,Tiwa Savage N.k Mashine 3 zinazokuja ku-Save Mziki wa Nigeria. 1.Joeboy Ukimsikiliza vizuri kama unamuona Tecno ndani yake hitmaker wa ngoma...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
JJ Paulo - Type ( Directed by Sara Jordan) Source : JJ Paulo Joram Johan Paulo is known under the artist name JJ Paulo and is from Tanzania. Most popular songs; Most recently played songs ...
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Hua inatokea bahati mbaya naangalia movie za hapa bongo,kiukwel hua najiuliza hivi hii movie ina director?na je kama yupo baada ya kufanya edit zote hua wanakaa na kuiangalia yote kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai...
0 Reactions
4 Replies
26K Views
Msanii Mpya Kwenye Label ya Wasafi huu ni Wimbo wake wa kwanza na hii ni Video yake DOWNLOAD HAPA NEW SONG | LAVALAVA - TUACHANE ( OFFICIAL VIDEO ) | DOWNLOAD Mp4 VIDEO | MTIKISO ENTERTAINMENT
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Kwa mara ya kwanza Jonijoo na B Dozen sasa watakua ndani ya kipind kimoja cha EMPIRE kinachorushwa na EFM kuanzia saa 1 jioni.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tovuti 13 kwa ajili ya Movie Streaming bure. Zitafute hizi kwenye Google: 1. Popcornfix 2. MovieNoLimit 3. Hotstar 4. Viewster 5. Snagfilms 6. TubiTV 7. Vudu Movies 8. Crackle 9. Yidio 10...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili wasalaam, Mimi ni miongoni mwa watu wanaopenda sana muziki wa harakati, ingawa sisi wapenzi wasikilizaji tunapata burudani ila wasanii husika wamekuwa wakipata changamoto za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom