Q CHIEF NI CHORUS KILLER WA TAIFA.
kupiga debe kwangu ilikuwa poa,
Fani katika maisha ikaja kuniokoa
Kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa
Mke nilimshusha hadhi kuwa na machangudoa
Mzimuni Family...
" No one care who i was until i put the mask"
" Peace has cost your strength, Victory has defeated you"
" You think darkness is your ally..."
" I was born in it, molded by it"
Ladies and...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho...
Wadau natafuta mno huo wimbo, nilikuwa nausikiliza sana nikiwa mdogo na enzi hizo Ukimwi ukiwa kwenye peak yake. Huu wimbo sijui uliimbwa na nani na nimejaribu kuusaka sana bila mafanikio. Mwenye...
Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat.
Hii...
#Jewajua : Nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne kisheria angeweza kuichezea timu ya taifa ya Burundi iliyofuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa AFCON kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2019...
LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA.
Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza...
Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio
Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha.
Ila kuna suala moja lanifikirisha sana.
Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya...
Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa...
Mwenye wimbo huu Full iwe Audio Au Video Naomba autume umeimbwa na Apostle Ng'ang'a toka Kenya kama sijakosea.
Nimejitahidi kutafuta uliokamilika nimekosa.
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo
Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani...
Kati ya nyimbo nilizoziskia kitambo na bado zinaskilizika mpaka leo ni wimbo wa huyu jamaa aisee. Huu wimbo ni kitambo ila unaweza ukasema hii mistari kaiandika leo, vipaji vingi vimepotea bongo...
Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok...
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/...
Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye"
Leo...
1: Jason Bourne vs Mission Impossible
2: Into The Blue vs Fool's Gold
3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War.
4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.