Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia. Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu wadau wa jf wimbo wa "the freedom is coming tommorow" nimetokea kuupenda kwa mara ya kwanza nilipobahatika kuingalia filam ya sarafina. Mwanadada sarafina namkumba sana na hata kifochake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo. Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica. Naombeni mnijuze, haya makundi yana...
1 Reactions
2 Replies
338 Views
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu. Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani? "swali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wote Kwa ufahamu wangu naelewa "music director"(sina kiswahili chake) anadeal na muziki lakini bado nataka kujua zaidi ; Ni nani? Majukumu yake ni yapi? Kuna umuhimu wa kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
“Nina Idea kadhaa nilikua nataka nziipeleke kwenye vituo vya TV, Naomba kujuzwa mambo haya.. -Nifanyeje ili niwafikie wahusika wanaohusika na kupokea Ideas(labda content managers, production...
1 Reactions
8 Replies
309 Views
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote. Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha. Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa...
1 Reactions
6 Replies
473 Views
Naomba kufahamishwa ratiba ya bendi ya Fm Academia na La Capita ya King Kikii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wikiendi wanaforum. Kwa wenzangu tunaopenda kwenye kurelax night club wikiendi.Naomba kufahamishwa nightclub zenye strippers ( Hottest sex dancing babies kwenye box). Please let me...
4 Reactions
65 Replies
13K Views
Wakuu, Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia hii show maarufu ya Big Brother, inayowachukua watu tofauti tofauti kutoka nchi za Afrika kuingia katika mjengo mmoja na mwisho wa siku mtu kuibuka na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhalini sana wakongwe kuna wimbo uliimbwa sikumbuki kama msondo ngoma au band gani ila KIITIKIO jamaa kwa sauti kali yenye kipaji cha hali ya juu aliimba "Hili ndilo fundisho kwa wengine...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Naomba kufahamishwa historia ya mr bean maaru kwa jina hilo huyo bwana at inkson
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kuna maswali najiuliza kwenye hii professional wrestling ambayo wanasema sio ya kweli bali ni show kwa ajili ya entertainment hivi wa nafanya katika haya: -zile ngumi, mateka vinavyopigwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mambo yanayonipa shida kidogo. Utakuta bendi ya muziki inatangaza kuwa itapiga shoo mahali fulani na shoo hiyo itakuwa mpaka majogoo (karibu na asubuhi). Cha kushangaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hope mko poa. Mimi ni mfuatiliaji kiasi wa movies za wenzetu hasa Hollywood & the like. Kinachonishangaza ni kuhusu budget zao, how comes mtu ana Invest up to $1.2 billions then faida...
0 Reactions
9 Replies
924 Views
Habari wana JF, naomba mwenye uelewa na hivi vifaa anifahamishe vizuri manake huwa naviona tu ila sijui kazi zake, asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza....msaada wako tafadhali
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Natumia smartphone naombeni namna ya kudownload series yangu with English subtitle anayejua atoe maelezo yakutosheleza please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom