Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Duniani kuna kazi nyingi sana za mziki ambazo kutokana na culture barriers au kukosa promotion zinashindwa kutoboa but ndio nature ya muziki. Muziki mzuri huwa unakosa promo hivyo kufa kibudu na...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa,tafadhali anayefahamu wimbo wenye huo mstari naomba anifahamishe hapa. Ni wimbo wa taratibu hivi.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
The Muzikifan "Congo in Kenya" page, with the help of a community of friends and contributors, has grown into a valuable resource for fans of East African music. Therefore I have decided to expand...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
[KASHALA - Maquis du Zaire] Kasha, Kashala sikilliza nikueleze , Mimi nateseka shauri yako bibi, Ungenieleza mapema, ............. Sikutegemea Kashala, Kama ungeweza kunivalia ngozi ya...
3 Reactions
10 Replies
15K Views
Kama kweli unakipaji basi usikate tamaa jitahidi tu utafika mbali,hebu angalia huyu kijana alikotokea mpaka leo hapo alipofika. Nakumbuka hata wakina Jot na Mpoki walikotoka wakati ule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ile Christmas Carol ikipigwa RTD zama zile mwenye kuwa nayo jamani. Iyooo Christmas iyo iyoyoyo iyo!one,two three four! Happy Christmas iyoooyoo Happy new year iyoooyoo
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesikia BASATA wanaandaa orodha ya nyimbo zingine ambazo zitafungiwa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari. Naomba kuwaonya kua mkifungia huu wimbo nawaburuza mahakamani. Nimewasiliana na...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
“I want him dead,” (ninataka afe mara moja) “Okey! Sir! Do you want us to kill his family too?” (Sawa! Mkuu! Unataka tuimalize na familia yake pia?) “Yes! Just kill them all,” (ndiyo! Waue wote)...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia...
3 Reactions
118 Replies
12K Views
0 Reactions
0 Replies
755 Views
MAMA VANESSA SEHEMU YA KWANZA Muda ulikuwa umeenda sana macho ya Lucas Manyama yalianza kujifumba yenyewe ishara kuwa mwili wake ulikuwa umechoka na ulihitaji kupumzika. Saa yake ya ukutani...
0 Reactions
33 Replies
57K Views
Kutokana na hali ngumu sasa kuzidi hapa nchini Tanzania Watu wengine wenye Vipaji vingi kikiwemo cha Kuimba tumeona sasa tutumie ' Talanta ' zetu katika Kupambana na Ukazaji wa Vyuma kwa kuamua...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Unapenda wimbo gani? Karibu tushare na kuburudika pamoja. NB: Wimbo wowote uupendao iwe Gospel, Hip-hop, Rnb, Trap songs, Slow jam, Jazz, Bongo fleva etc etc. KARIBUNI[emoji4] jakitoo
13 Reactions
736 Replies
34K Views
2018 Swahili Movie Latest African Tanzanian Full English Movies MACHO MEKUNDU - Hii ni movie ya kiswahili inayoelezea maisha ya kijiji kimoja kilichotawaliwa na imani za kishirikina...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Wadau natafuta sana huu wimbo wa Viumbe wazito uliopigwa na East African Melody na kuimbwa na Mwanahawa Ali youtube upo kipande haujaisha tafadhali naomba link au upload hapa thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwokozi umeokoa………………… 1 Twamsifu Mungu………………… 2 Hata ndimi elfu………………… 3 Jina la Yesu, salamu!………………… 4 Jina lake Yesu tamu………………… 5 Baba, Mwana, Roho………………… 6 Ni tabibu wa karibu………………… 7 Taji...
7 Reactions
22 Replies
64K Views
SURA YA KWANZA: Ray Shaba alikuwa kwenye kikao ambacho mjumbe wake alikuwa ni yeye peke yake. Mikono yake ikiendelea kurusha ngumi kwenye begi la mchanga lililokuwa linaning’inia kwenye...
13 Reactions
154 Replies
35K Views
NDOA YANGU EPISODE -01 Baada ya kufuta meza ya chakula na kuosha vyombo, nilienda chumbani, sikujisumbua kusema usiku mwema kwa Antony ambae alikuwa sebuleni akiangalia fainali ya ligi ya mpira...
1 Reactions
26 Replies
17K Views
Wakuu,bahat mbaya hzo video zmegoma kuingia humu,..maana nawajua wazee wa "bila picha uzi hauna maana."
5 Reactions
66 Replies
4K Views
Wadau poleni kwa uchovu wa siku nzima me shida yangu kama kuna mtu anao wimbo wa dogo mmoja hivi simjui ameimba ivi"narudi nyumbani kuenyoj ,kuenyoj madikodiko naenyoma mamaaa,naenyoj...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom