Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

MAPACHA WANAOFANANA Kutana na mapacha Rukia na Rukaiya ambao tabia zao zinafanana, maumbo na sura kiasi kwamba mmoja kati yao anachumbiwa na kupata ugonjwa ghafla hivyo anakaa kwa muda mrefu kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tujikumbushe kidogo zile harakati za PIMBI na madem ambazo hajawahi kufanikiwa hata siku moja Siku moja kachukua wanawake wawili (mijimama) akaenda kawapiga pombe vibaya sana na yeye piga pombe...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
ipi club kali kwa bongo kati ya izi 3? -Club nextdoor, -london lounge na maisha basement? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
68 Replies
15K Views
Kwema wadau? Tuweke mambo mengine kando embu tuiangalie kama Tha carter V itamrudisha huyu jamaa level zile tena maana vijana wamekuwa moto sana Japo namatumaini na ichi kichwa maana kuna track...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
PENZI LA SHEMEJI sehem ya 1 " Naomba umsindikize shemeji yako tafadhali Jun" alinambia kaka " Haina tatizo kaka" nikamjibu kaka Niliingia chumbani na kuwaza sana namna nitakavyofanya ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni tujadili kwa pamoja wimbo mpya toka kwa Mwana hiphop nguli Tanzania, na mwandishi wa visa vingi kwa utunzi makini. Video content link:
1 Reactions
5 Replies
5K Views
habari za jioni wana JF, Naombeni msaada kwa anayejua torrents au sites ambazo zina African series and movies.
2 Reactions
1 Replies
748 Views
Ni moja ya show zilizokuwa zinabamba kweli Afrika Mashariki, imekumbwa na nini mbona haisikiki tena?
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kwanza napenda Ku declare interest kwamba Mimi ni mlevi wa mziki mzuri wa bongo fleva na soka la ulaya tu. Wafuatao ni maproducer wangu watano bora ambao haipiti siku sijasikia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Redirect
Mtayarishaji na Muandaaji wa Muziki *Pancho Latino* amefariki dunia... Chanzo cha Kifo ni kuzama kwenye maji katika Kisiwa cha Mbudya!
0 Reactions
Replies
Views
Diamond Platinum ameshinda tuzo moja ya best collaboration of year ambayo ni African beauty aliyoshirikiana na Omarion ..Ni Jambo zuri angalau tumesikika na sisi huko Dallas marekani.
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Umofia kwenu wakuu. Nipo hapa kusaka maarifa juu ya masuala ya music system,nimejaribu kuchimbua kila kona ili niwe na uelewa clear kabisa lakini nilichoambulia sijaridhika nacho nikaona nibishe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ORODHA YA WASANII WANAO SIFU MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWENYE NYIMBO ZAO. Orodha ni ndefu sana, nitaorodhesha wachache na wengine mtajazia: 1...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Redirect
Wadau nadhani kila mtu anazifaham hizi hadithi za abunuasi, leo hii nimeleta hii maada ili mnisaidie maana ya neno ambalo mheshimiwa alitamka siku zilizopita. Alisema halafu mtu atuletee afu ulela...
0 Reactions
Replies
Views
New Video: Jux Ft. Joh Makini – Tell Me - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
She calls me sweetie,I call her pretty girl She calls me sweetie We gonna run this city!!We run this town!town!town! We gonna run this city!! Kafiga kananiita Nasikia raha kukashika Usishoboke na...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Major Lazer wameachia wimbo mpya, ‘Loyal’ waliomshirikisha staa wa Jamaica, Kranium pamoja na hitmaker wa Nigeria, Kizz Daniel, Jumatano hii. Wimbo huu umekuja na video yake, ya nne katika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
a) DEVIL KINGDOM b) NDOA YANGU c) THIS IS IT d)DAR TO LAGOS e) nyingineo { itaje}
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hizi nyimbo zinatoka mie ndo nilikuwa mgeni mgeni kwenye ajira. Mambo ya boyfriend girlfriend zone ndo yalikuwa yanabamba. Siku ya siku nikamwambia I CAN MAKE YOU FEEL UNPRETTY TOO.... goosh he...
2 Reactions
6 Replies
941 Views
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa miereka ya WWE lakini baada ya kuanza kuleta drama zao na maigizo kuanzia mwaka 2011 nikaacha kuifuatilia sababu ya maigizo kuwa mengi. WWE huwa hakuna mshindi wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom