Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....
Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.
Tuanze na Hangover 2. Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona...
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani...
Album bora ya hiphop ya muda wote ni ipi?
Msanii bora wa hiphop wa muda wote ni nani?
Wimbo bora wa hiphop wa muda wote?
History ya hiphop
Records za hiphop
Tafsri ya hiphop na utamaduni wa...
Simulizi: ๐๐๐๐๐๐
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
Sehemu ya...........01
๐๐๐๐๐๐
Wingu kubwa jeusi, radi na miungurumo ya hapa na pale ilikuwa imeshika kasi na kufunika mlima mkubwa maarufu...
Quote of the Day for Tuesday, September 19, 2017
โSometimes life will test you but remember this: When you walk up a mountain, your legs get stronger.โ
Quote of the Day for Wednesday, September 20, 2017
โNot everyone is meant to be in your future. Some people are just passing through to teach you lessons in life.โ
Mara unamsikia kijana anaimba โinama nipachike runguโ, mara binti yule nae anaimba โnikikuona nabanwa na hajaโ, binti huyu nae eti "piga piga piga mpaka ufungulie bomba". Kama uko na wazazi au...
MSANII aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya Bongo miaka ya 2000, Lucas Mkenda โMr Niceโ ameibuka upyaaa!
Safari hii fujo na makeke yake yanatokea nchini Kenya ambako ameweka makazi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.