Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamaa kasema na hapa namnukuu "...boycott CLOUDS FM...boycott AIRTEL na huduma zao zote kama AIRTEL-MONEY kwa sababu watumishi wake kama Twisa wanashirikiana kwa hila na wanyonyaji hawa wa...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya...
13 Reactions
87 Replies
5K Views
Salama! Awali ya yote na declare interest kuwa hakika uyu Jamaa mimi binafsi namuona ni mfano bora. Ni bora hasa kwa kaya nyingi sana za kiTanzania,ambazo ni watafutaji wao sio waliokuta mali au...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Joseph Haule (born December 29, 1975), popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian rapper, songwriter, politician and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amesikika Mkurugenzi wa Clouds Media Group, ndugu Joseph Kusaga katika kipindi cha Leo Tena ninamnukuu "Clouds watangazaji hawaondoki kwa taarifa tu, Zamaradi atarejea kuanzia wiki ijayo "...
7 Reactions
38 Replies
10K Views
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza. Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu. MKURUGENZI Mtendaji...
6 Reactions
182 Replies
24K Views
Mkurugenzi wa CMG Joseph Kusaga amesema yeye siyo mmiliki wala mwanzilishi wa Wasafi media. Amezungumza hayo leo akihojiwa na XXL. Kauli hiyo imekuja kutokana na pongezi ya Adam Mchomvu nanukuu...
18 Reactions
103 Replies
13K Views
kesho asubuhi katika kipindi cha break fast Joseph Kusaga atakuwepo akijibu hoja na kwa wenye maswali ya aina yeyote ametoa namba ya simu 0786863716 hii ni kwa sms pamoja na e mail...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media bwana Joseph Kusaga kasema yeye ndo kawezesha vijana wengi wawe hapo walipo, so kashauli tuache malumbano tuchape kazi. amesema hayo katika pongezi za miaka 50...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Umofia Kwenu, Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake! Big...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Habarini wanaJF!!!Naomba mnijuze mahali alipo huyu Joseph Katuba aliyekuwa golikipa wa timu ya yanga.Huyu jamaa alikuwa mahiri sana langoni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia. Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB. Bahati mbaya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu hapo nani unamkubali?
0 Reactions
123 Replies
17K Views
Mambo vipi? Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake. Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
3 Reactions
36 Replies
7K Views
eti wadau wa muziki wa dance,jose mara namuona kwenye kundi la pamacha watatu,inamaana kwamba jamaa kajitoa fm academia? Au anapiga kotekote!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni muda ss nimekuwa nikiwasikia hawa mtu na boss wake wakitangaza ktk kituo cha clouds fm. Je walisomea utangazaji au ni vipaji vyao tu, na ilikuwaje mpk wakaanza kutangaza hapo?
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Huyu mwamba nilikuwa nafatilia sana baadhi ya majarida yakimtaja ndiye mtu tajiri barani Afrika, amewahi kuwa Rais wa Angola kwa muda mrefu sana. Mara tu baada ya kustaafu alianza kuumwa na hivi...
5 Reactions
94 Replies
5K Views
Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone. Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo. " Siko katika level ya kuomba...
13 Reactions
148 Replies
24K Views
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom