Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate...
13 Reactions
143 Replies
15K Views
The ex Big Brother Africa star last night shared on snapchat a chat she had with a girl who she was supposedly asking out. In the chat she asked the girl to send her a picture of her butt hole and...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wazee wa fitina wasema kwa sasa anatakiwa kuitwa chidi vits...
2 Reactions
554 Replies
113K Views
Katika kile kinacho itwa From Tandale to world tour,Diamond leo ametua Ujerumani kwaajili ya kukinukishaaa! Lakini kilicho nishangaza ni kundi kubwa la watu alio nao,Sina kinyongo nao sababu wote...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake sijui nchi gani, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Asalam alaykum wanajamvi... Mimi ni mpenzi wa nyimbo za kuchana au kupasuka kama wengi wasemavyo, kinachonifanya nisipende nyimbo za wabana pua sababu kubwa ni 1) Kuigana 2) Point kuu Mapenzi 3)...
5 Reactions
51 Replies
8K Views
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako. Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza...
17 Reactions
109 Replies
22K Views
Msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate mwigelo, anaendelea kufanya vizuri kwenye soko la urembo, ambapo hivi karibuni alifanikiwa kuwashawishi warembo wenye mvuto wa aina yake bongo, Hamisa...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Msanii first class kwenye kiwanda cha bongo fleva, mwenye hadhi ya kimataifa, Vannesa mdee, amewaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki zake kwa kitendo alichokifanya hivi karibuni kwenye ukurasa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sipho Mabuse alizaliwa Jijini Johannesburg- Afrika ya Kusini tarehe 2 Novemba 1951. Alianza kazi ya Muziki mwaka 1970, akiwa na wenzake walikuwa wakiimba muziki wenye vionjo vya Kiafrika. Lakini...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Msanii mkongwe wa Hip Hop na mbunge wa Mbeya mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameachia wimbo wake mpya ‘Freedom’ ambapo ndani ya wimbo huo amezungumzia mambo mbalimbali yakiwemo mafanikio yake...
5 Reactions
70 Replies
18K Views
Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka na aliyekuwa mumewe, Gardner G. Habash ‘Captain’, mali za mrembo wa nguvu, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ zinadaiwa kuzua kizaazaa baada...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
  • Redirect
Sasa basi ninajua kuna baadhi watu wengi iambao mlikuwa na maswali mengi yasiyokuwa na majibu juu ya ile picha ya Diamond Platnumz na kanye west, .kichotokea siku ambayo Diamond alipokutana na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ule usemi usemao "lisemwalo lipo" umetimia baada ya ule uvumi wa siku nyingi kuhusu mtangazaji machachari nchini, zamaradi mketema kutoka kimapenzi na boss wake,ruge mtahaba. Mtangazaji huo...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJF, Pentatonix ni kundi la muziki wa acapella (mara nyingine hufupishwa kama PTX) ni vijana walioshinda tuzo za Grammy mara mbili kama BEST ACAPELLA GROUP kutoka Marekani vijana hawa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana. Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Katika hali iliyoshtua wengi, Mtangazaji wa Clouds Tv , Zamaradi Mketema, ametangaza hadharani juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na "BOSS" wake Ruge Mutahaba. Kupitia ukurasa wake wa...
1 Reactions
197 Replies
91K Views
Imefichuka! Baada ya kuitwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kupongezwa kutokana na tuzo aliyopata nchini Nigeria, staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijikuta akihaha baada ya...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom