Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema. Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa...
8 Reactions
75 Replies
14K Views
Wakongwe 1. P-Funk Majani 2.Master Jay 3. Mika Mwamba 4.Complex (R.I.P) 5.Prof Ludigo 6... 7... Wanaotamba kwa sasa 1. Marco Chali 2. Lamar 3. Hermy B 4. Man Walter 5. Q 6... 7...
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Jana nilikua naangalia video fulani hivi za kina Chege na Temba ambazo kwa mtazamo wangu mdogo naona nyota ii upande wao! Ghagla nikajikuta namkumbuka na sir nature enzi hizoo za TMK family...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Achilia mbali tabia n.k Huyu akiacha ukichaa wake kumbe mke mzuri tu cheki kasura kalibotokelezea kikike zaidi!!
13 Reactions
97 Replies
28K Views
Ni kwanini wasanii wakubwa kama Joh Makini, Nick ii, Lord Eyes, Ibrah da Hustler, G Nako, WCB, Dogo Janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana. Kwanini Arusha isiwe na waimba...
4 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari ndugu; Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita...
1 Reactions
54 Replies
20K Views
Habari zenu wana jamvi? Ni miaka minne sasa tangu kuondokewa kwa nguli wra filamu Tanzania ndugu Steven Kanumba, lakini katika tasnia hii tangu kuondoka kwake sijaona maendeleo yoyote kwenye...
5 Reactions
54 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona herbal Clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu. Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
DIAMOND - PESA, TUZO, MASHABIKI WENGI NA STAGE PERFOMANCE: halina ubishi hili hapa ni diamond platnumz, king of african pop ukipenda mwite simba, hakuna msanii anayeimba na kuvuta mkwanja mrefu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuanzia miaka ya 2010 bongo muvi imezidi kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu...hii ni kutokana na ubora mbovu wa kazi zao...lakini kwa kipindi chote hiki media mbalimbali zimekuwa zikiwabeba...
1 Reactions
2 Replies
952 Views
Haya ni maneno ya binti aliyelala NA Usain Bolt Jady Duarte mrembo wa Kibrazili..... He played Rihanna Song Work.I Think He Likes To Listen To it When He Makes Love... He Has The Body Of...
10 Reactions
161 Replies
18K Views
Lina sanga ameanza safari yake ya muziki na kutambulika Tanzania tangu mwaka 2010 mwezi august alipotoa wimbo wake wa kwanza “Atatamani” na ulimfanya apendwe mithili ya twiga mwenye maringo na...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Markzuckerberg ala ugali na samaki Mimi ni nani nisile Ugali kwa samaki,
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai yeye mwenyewe. Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha...
1 Reactions
142 Replies
21K Views
yupo jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa? Mimi kwangu naona kama...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Watalamu wa lugha na imani mtakuwa pamoja na miye Jambo ambalo shilole analifanya kwa sasa inaonekana kama utani ila kwa mtu anayejifunza kingereza au aliyejifunza kingereza anaweza kuwa shahidi...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Back
Top Bottom