Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,, Wapenzi wa rap...
11 Reactions
115 Replies
2K Views
  • Redirect
Kuna stori zinatrend eti one of our best Celeb na msanii socialite eti kuna video zake zimelink viral. Na eti ziko kwa dada yetu, hivi hii app ya dada sielewi elewi ndo naniii mpya bongo ya kuona...
3 Reactions
Replies
Views
1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
1 Reactions
92 Replies
10K Views
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes. Huu...
154 Reactions
2K Replies
180K Views
Kesha has decided to move from Tennessee to California following her recent stint in rehab in a bid to make a fresh start. Kesha Kesha has moved to Los Angeles following her stint in...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Hivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili.... "Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee." Anaendelea kufunguka Mc.. "Pale tulipokuwa tunakutana kila...
12 Reactions
82 Replies
7K Views
Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's...
18 Reactions
268 Replies
22K Views
Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke. Amesema kwa sasa yupo na Pacome. Tumuombee arudiane na mkewe.
29 Reactions
316 Replies
20K Views
Salam ndugu wanaMMU, Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya...
1 Reactions
45 Replies
22K Views
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa. Hapa sijamwelewa kwanini akubali tu mke...
8 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa. Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60...
35 Reactions
134 Replies
9K Views
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze. NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
25 Reactions
271 Replies
22K Views
Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi Bila kusema ni...
18 Reactions
661 Replies
69K Views
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa...
37 Reactions
283 Replies
16K Views
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom