Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria. Inadaiwa huo...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni...
18 Reactions
100 Replies
4K Views
Wakuu mambo zenu. Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu. Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
~ Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza... ~ Kanumba alivuta. ~ Kapteni k naye akavuta. ~ Majizo naye anaozea selo... ~ Lulu ana nini Lulu??
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hongera sana Mr and Mrs Nassari
0 Reactions
16 Replies
4K Views
The sex Ring, how Janet Museveni infected Museveni with HIV/AIDS Around 1988 or 1989, Janet Museveni got the shock of her life when she tested positive for HIV, which she got from her husband. In...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni ufahari mtu kununua kitu chochote kile kilichotumiwa au kumilikiwa na mtu maarufu ama mashuhuri kwa bei kubwa sana na kuhifadhi kwenye majumba yao. Lakini ni...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa kutambua thamani yake serikali ya afrika ya kusini kupitia kitengo cha utalii kimempatia kandarasi nono msanii diamond kutangaza maeneo yao ya utalii hayo diamond alifunguka baada ya shabiki...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Prodyuza wa muziki,ambaye pia ndio C.E.O wa studio za B-Hitz,Hermy B achukizwa na Joh Makini,atoa tamko lake kwenye ukurasa wake wa SuraKitabu(Facebook).. "Joh Makini You Have Officially Pissed...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu huko mjengoni insta nkaona habari inatrend sana ya mlimbwende Hamisa Mobeto kutumbuiza Ikulu hadi mkulu kumsifia "kusifiwa na mkulu si mchezo" alisikika mtu mmoja akisema...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Redirect
Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa...
6 Reactions
Replies
Views
Uislaam unasemaje juu ya hili.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote. Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi. Maswali yamekuwa ni...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove rafiki wa zamani wa wemasepetu, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Aliekuwa mpiga picha mkuu wa Diamond kwa zaidi ya miaka 5 na baadae kutangaza kuacha kazi kwa staa huyo mkubwa wa Bongo Fleva (wengi wanadai alifukuzwa kwa kumshauri boss wake kuhusu zari)Hatimae...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hii Bongo Movies siku hizi imekuwa kama laana kwa kizazi cha siku hizi nchini Tanzania. Ni jambo la kusikitisha kuwa kila siku kila wakati utasikia mwigizaji huyu ama yule amepiga picha za ufuska...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
SAM LOCE EFE (1945 - 2011) Actor na Comedian maarufu toka Nollywood nchini Nigeria,Sam Loco Efe,amefariki dunia.... Mzee Sam alikua na miaka 66,alifariki dunia akiwa chumbani kwenye...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe. You Mad Coz Am Back...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom