Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wazee wa fitina wasema kwa sasa anatakiwa kuitwa chidi vits...
2 Reactions
554 Replies
112K Views
Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine. Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama...
31 Reactions
929 Replies
112K Views
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana. Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala...
4 Reactions
901 Replies
112K Views
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya...
12 Reactions
759 Replies
111K Views
Picha alizoweka msanii Wema Sepetu zimekuwa gumzo mtandaoni Instagram baada ya kuzipost katika Account yake. Sema dah nimeangalia hizi picha kama 6 au zaidi na nimemuelewa huyu kada wa CHADEMA...
1 Reactions
232 Replies
111K Views
  • Closed
Bridal shower ilifanyika wiki iliyipita nyumbani kwa Klyn na Mengi… Mambo ya high tea…. Mambo ya kwa queen hayooo Mashosti ndo kama hivyo walinogesha...
3 Reactions
485 Replies
110K Views
Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!
1 Reactions
438 Replies
110K Views
Wana Jf, Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika...
21 Reactions
735 Replies
107K Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na...
44 Reactions
1K Replies
107K Views
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
13 Reactions
801 Replies
107K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Mwanadada Faiza ambaye ni mke wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu amefanya kitu ambacho kwa sasa ni gumzo huko...
11 Reactions
597 Replies
107K Views
MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones. Katika kipande cha video kinachosambaa...
15 Reactions
503 Replies
107K Views
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
37 Reactions
612 Replies
107K Views
Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana. Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You...
43 Reactions
310 Replies
106K Views
  • Closed
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao...
4 Reactions
532 Replies
106K Views
Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri east afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo" wawili hao walipanda ndege...
3 Reactions
713 Replies
106K Views
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka. Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama...
0 Reactions
106 Replies
105K Views
Vicky Kamata Afunga Ndoa na Dk. Likwelile Dk Servacius Likwelile. Dar es Salaam, Geita-Tanzania. Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu...
13 Reactions
279 Replies
105K Views
Habari wakuu. Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo. Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa? 1) Flora...
15 Reactions
530 Replies
105K Views
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi...
7 Reactions
537 Replies
104K Views
Back
Top Bottom