Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Haya ndio Yanayojiri mida hii pande za Jiji La Dar Es Salaam, ni ile baby shower ya Blogger Maarufu Shamim Zeze aka Mrs Chonchi, aka Mama wa B2A, aka Mama wa 8020 Fashion,Naona akiwa na Marafiki...
0 Reactions
694 Replies
72K Views
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
65 Reactions
693 Replies
64K Views
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam. Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge...
10 Reactions
692 Replies
145K Views
Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi Bila kusema ni...
18 Reactions
661 Replies
69K Views
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika...
23 Reactions
659 Replies
97K Views
Habari za jioni wapendwa wana jf !!!!Leo ndo kilele cha usiku wa tuzo za films zinazofanyika na kuonyeshwa live Kupitia Azam TV ambalo ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwake hapa nchini...
10 Reactions
656 Replies
65K Views
  • Closed
Wasalaam wana Jamvi! Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”...
33 Reactions
655 Replies
62K Views
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani. Na nyie...
53 Reactions
649 Replies
93K Views
Ni katika wimbo wake mpya uitwao bora nikae kimya. Diamond amegusia ugomvi wa Makonda na Gwajima na ushiriki wa Mange. Amegusia tatizo la vyeti la Makonda na shinikizo la kutaka atenguliwe. Katika...
13 Reactions
648 Replies
92K Views
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.
5 Reactions
644 Replies
96K Views
Project ya Kijana wetu Diamond na Zari (the boss lady) ilifana sana kiasi kwamba iliacha kumbukumbu! Cha kujiuliza, hii project inaendelea? Kuna picha hapo chini inaonesha wakiwa wanaanza...
4 Reactions
643 Replies
89K Views
Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi...
3 Reactions
642 Replies
62K Views
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.
40 Reactions
629 Replies
79K Views
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi. Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa...
8 Reactions
627 Replies
80K Views
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
5 Reactions
624 Replies
119K Views
Wasalaam Wanajamvi Happy New year 2015!. Ni wazi JF ni zaidi ya Google pengine hata detail za shetani haziwezi kosekana humu! Ali Kiba ni mmoja ya wasanii ambao wanajiheshimu na hawapendi...
1 Reactions
621 Replies
83K Views
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo...
43 Reactions
619 Replies
46K Views
  • Closed
Baada ya ishu ya ubakaji kumkalia vibaya Mbasha kaamua kuomba msamaha. Sikiliza attachment hapo chini. ----------------------------------------- By The bold Naomba nifunguke kidogo nielezee...
17 Reactions
614 Replies
87K Views
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
37 Reactions
612 Replies
107K Views
NI MTIKISIKO! Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba. Kiungo huyo...
49 Reactions
610 Replies
30K Views
Back
Top Bottom