Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
Aaahem Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba...
1 Reactions
9 Replies
552 Views
Sentenced to 8 months of prison, 2 years of probation and 40 hours of sexual violence education. actor Oh Young-soo has been found guilty of indecent assault in a South Korean court. The...
2 Reactions
6 Replies
457 Views
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidharirisha, fainali ni uzeeni.
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Aliudanganya ulimwengu kuwa Rais wa Marekani Trump kampongeza Magufuli. Hakika imekuwa ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mwamba ambaye alikuwa NI mtangazaji wa kituo cha television hapa nchini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram. Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Former UFC Champion Mark Coleman ran into burning 🔥 house and served both his parents then went back in for their dog 🐶 but passed out in the fire. He is now in critical condition at the...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
  • Redirect
Habari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa...
3 Reactions
Replies
Views
Mchezaji wa soka wa Palestina, Mohammed Barakat, aliuawa Jumatatu wakati shambulio la angani la Israeli lilipogonga nyumbani kwake katika mji wa kusini mwa Gaza wa Khan Younis. Nyumba yake ya...
2 Reactions
14 Replies
846 Views
If puss and dog can get together, Why can't we love one another? -Bob Marley
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo. Katika makundi haya kwa sasa kuna...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio...
24 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu Salaam, Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment. Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
John Cena went live on stage at the Oscars naked. This is symbolism at it's peak, the emasculation of men. They take masculine figures in society and humiliate them, from wearing dress to walking...
4 Reactions
4 Replies
479 Views
Back
Top Bottom