Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika pitapita mitandaoni nimekutana na hili.... Wakenya wako vizuri sana hawa majirani zetu. Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan? Scooper - Entertainment News: Is Singer Nandy Really...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya. Maamuzi hayo ni kufatia...
14 Reactions
69 Replies
11K Views
Nasikia bibie na baby wake wapo central kwa utapeli, nasikia walimtapeli mtu kwenye instagram ya wema sepetu , watu wa matangazo.... sasa bibie akaamua aji hack apost matangazo🤣🤣, Ila njaa mbaya ...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Kuna tetesi eti mrembo huyo wa tasnia ya bongo movie kuwa ameolewa kimya kimya na mwarabu mmoja mwenye pesa zake. Tusaidiane jamani.
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Wadau hivi ni kweli katemwa pale Mawingu FM maana naona hata ngoma zake hazipigwi sana Hata hii ngoma mpya ya Mshumaa hakwenda kuiachia pale XXL kama ilivyo kawaida yake Je swala hili lina...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
Wasalaam wajamvi! Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba. Ndoa ya...
18 Reactions
394 Replies
57K Views
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh Uwoya sasa...
15 Reactions
74 Replies
18K Views
  • Redirect
Wakuu habari zenu Kuna tetesi producer luffa anaumwa sana ila wanaficha ficha vipi kinamsibu nini Namkubali sana chalii Kuna kipindi waliomba msaada Instagram kwenye account jina nimesahau kidogo...
0 Reactions
Replies
Views
Aisee huyu Kijana ameupeleka mziki wa Bongo kimataifa, kama Mtu unamchukia Kijana huyu wa Tandale aisee Utapata Tabu mnooo... Yani Diamond ni Jeshi la mtu mmoja anabadilisha ladha za muziki kila...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
DAR ES SALAAM: UNA kifua nikupe ubuyu? Staa mwenye kiwango cha juu ndani ya Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayepiga mzigo na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), muda wowote anaweza...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
MWANAMUZIKI maarufu duniani, Mwingereza, Edward Christopher Sheeran, maarufu kama Ed Sheeran ametangaza kuwa atapumzika kazi hiyo baada ya kuifanya kwa muda mrefu. Ametoa kauli hiyo alipokuwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa...
13 Reactions
134 Replies
33K Views
Heshima mbele, nimepata tetezi kuwa wasanii hawa nguli Barani Afrika wamealikwa kutumbuiza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani. Kama ni kweli nawapongeza mno...
3 Reactions
72 Replies
12K Views
Tupunguze hasira ya Report ya CAG 2017/2018. Huyu ni socialite wa huko Rwanda mwenzenu nimebahatika kumuona kwa macho yangu kigali,sikuamini kabisa yaani,uzuri ni kama utamu wa matunda yaani...
10 Reactions
197 Replies
49K Views
Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Redirect
Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa...
0 Reactions
Replies
Views
Hadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Chicago,USA. Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly. Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa...
3 Reactions
91 Replies
12K Views
Hii habari itakuwa na ukweli nimesikia muda huu kwenye redio jembe ni jembe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate. Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni...
1 Reactions
3 Replies
840 Views
Back
Top Bottom