Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2. Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake. Huyu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha...
5 Reactions
90 Replies
7K Views
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu? nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu. na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
  • Redirect
Leo ni siku ya valentine, kuna show ya Zuchu hapooo mlimani city. Kwa kukumegea tu hii show ndio inaenda kuwa show kubwa zaidi ya msanii kuwahi kutokea kwenye muziki wa bongo. Hii ndio show...
1 Reactions
Replies
Views
Ili msanii uwe superstar kuna vitu vitatu vya muhimu kuwa navyo. 1. Kipaji 2. Nyota 3. Connection Ukikosa vyote basi walau uwe na viwili kati ya hivyo na kitu Nyota usikikose. Msanii mpya...
9 Reactions
129 Replies
13K Views
Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
5 Reactions
45 Replies
4K Views
  • Redirect
Na amemwimbia wimbo wake favourite. Shangwe kama lote pale Mlimani City
0 Reactions
Replies
Views
Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri... Zuchu baada ya kuona...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
  • Redirect
Nimependa sana Zuchu alivyoswitch kama ana rap hiv kwenye ngoma ya Quarantine hii inathibitisha Diamond anapenda sana kumsign msanii anayeweza kuimba aina nyingi ya mziki. Namnukuu "Binafsi...
2 Reactions
Replies
Views
Habarini Wana jamvi..? natumai my wazima wa afya. nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu. nimegundua kuwa...
5 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram. Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati. Zuchu pia ana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Mimi ni shabiki na mpenzi wa mziki mzuri haijalishi kaimba nani na kwa lugha gani. Kwangu Zuchu ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri, lakini Leo nataka tuongelee huu wimbo wake...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naona nyota ya huyu binti Ni Kali si mchezo tangu atambulishwe kwenye game haizidi hata miezi 6 ngoma zake alizoachia zimempa nominees kwenye tuzo za Afrimma kuania kwenye vipengele viwili Cha...
6 Reactions
92 Replies
8K Views
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda...
9 Reactions
143 Replies
20K Views
mod tunaomba ikae kwa muda,,huyu mhuni ameuwa ndugu zetu wacha mungu amwadhibu,kwema lakini?? Zombe ajitetea kwa muda wa saa tatu huku akimwaga machozi Na James Magai MSHTAKIWA wa kwanza...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000. Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya...
11 Reactions
71 Replies
4K Views
  • Redirect
GODZILLA FT CLIFF...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom