Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama...
18 Reactions
790 Replies
78K Views
  • Closed
Jana gazeti la Majira limeripoti kwamba Bwana Mohammed Mpakanjia, mkazi wa Dar es Salaam, amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh. Samuel Sitta, kumuarifu kwamba amemtaliki mkewe...
0 Reactions
787 Replies
161K Views
Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha...
14 Reactions
785 Replies
58K Views
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa. Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters). Jaman kwa namna ipi na...
7 Reactions
784 Replies
125K Views
Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego: Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi...
45 Reactions
777 Replies
131K Views
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
2 Reactions
771 Replies
99K Views
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani. Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya...
26 Reactions
766 Replies
123K Views
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi...
124 Reactions
763 Replies
49K Views
  • Closed
ALBERTO MSANDO GIGY MONEY A to Z ya Video Chafu ya Gigy Money na Wakili Msando...Msando Adai Gigy Amelipiza Kisasi Aibu! Siri nzito imevuja baada ya video chafu iliyomhusisha wakili maarufu hapa...
2 Reactions
759 Replies
134K Views
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya...
12 Reactions
759 Replies
112K Views
Jamani wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe. Star tv wanaonyesha moja kwa moja mashindano haya. ================================= kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es...
1 Reactions
758 Replies
80K Views
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au? Zuchu yuko overpriced Mauzo ya Ticket From Diamond Platnumz bingwa wa promotion...
35 Reactions
757 Replies
65K Views
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia...
11 Reactions
757 Replies
20K Views
  • Closed
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua...
15 Reactions
749 Replies
81K Views
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi. Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni.. Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated...
51 Reactions
737 Replies
43K Views
Wana Jf, Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika...
21 Reactions
735 Replies
108K Views
Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others This is a call to BET Awards hosted and produced by Black...
24 Reactions
721 Replies
46K Views
Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri east afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo" wawili hao walipanda ndege...
3 Reactions
713 Replies
106K Views
Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya...
7 Reactions
704 Replies
72K Views
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda. Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza...
14 Reactions
699 Replies
122K Views
Back
Top Bottom