Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Duh! Ila kweli Diamond ni simba, habari za chini ya carpet inasadikika kuwa Diamond alimla Poshy Queen. Aise! Kama hizi habari ni kweli basi Diamond kanishinda tabia. Huyu Diamond, yaani wadada...
9 Reactions
185 Replies
20K Views
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Anaandika Javan Samora-Kenya Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki...
2 Reactions
83 Replies
14K Views
Siku saba sasa zimepita tangu huyu binti menina ambaye ni msanii, mc, mwalimu wa madrasa na mchekeshaji lakini pia ni professional commercial Hawks, kutupia mitandaoni picha zake za uchi akiwa...
5 Reactions
358 Replies
69K Views
Wasalaam wanajamvi Msanii Gigy Money hivi karibuni amekuwa akionekana kwenye media ya msanii Diamond Platinumz akifanya shughuli fulani ambayo mwanzo ilionekana kama ni serious lakini imekuja...
12 Reactions
158 Replies
14K Views
Bidada nasikia limemkuta jambo , ile ofisi yake aliyoifungua kwa mbwe mbwe wiki kadhaa iliyopita nasikia imevunjwa vunjwa na Vijana wanaosadikika wametumwa na mke wa muheshimiwa ambaye anadaiwa...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Wasalaam wana jamvi! Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
  • Closed
Celebrity katika Tasnia yupo mbioni kuagiza Private Jet (kwa matumizi binafsi) na Helikopta (kukodisha). Stay tuned wana-Tabora.
3 Reactions
34 Replies
5K Views
  • Redirect
Huu ni mwaka wa saba Free style icon "GWair" atupo nae duniani Ni ngoma gan ya ngwair unaikubali au verse gani ilikubambaaaaaa
0 Reactions
Replies
Views
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi Ngoma yake mpya...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi. Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua...
2 Reactions
57 Replies
10K Views
Leo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram. Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa...
1 Reactions
102 Replies
14K Views
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda...
9 Reactions
143 Replies
21K Views
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa. Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa...
15 Reactions
47 Replies
8K Views
tukiendelea kuletea mtiririko wa matukio ya Diva na show yake Mpya Youtube Divathebawsetv ameulizwa na mashabiki zake kwamba je ameona show ya Mfalme Alikiba Zanzibar. Diva amejibu ameona...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Inasemekana atatua bongo next month ,kushoot project yake mpya ambayo haijawekwa wazi
1 Reactions
30 Replies
3K Views
I smell a fish To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated. Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up...
23 Reactions
325 Replies
29K Views
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group. Lakini hii inaleta tafsiri kuwa...
5 Reactions
51 Replies
11K Views
Back
Top Bottom