Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine. Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama...
31 Reactions
929 Replies
112K Views
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha...
14 Reactions
917 Replies
152K Views
Kalapina, Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni...
60 Reactions
915 Replies
33K Views
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana. Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala...
4 Reactions
901 Replies
112K Views
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi. Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana...
24 Reactions
880 Replies
138K Views
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
13 Reactions
876 Replies
68K Views
Millard Ayo amekaa na mwanadada Klynn au Jacqueline Ntuyabaliwe na kuzungumzia tweet maarufu aliyoiweka wiki iliyopita. Fuatilia mahojiano: Millard: Ulikutanaje na Reginald Mengi? JNM: Mara ya...
52 Reactions
874 Replies
91K Views
  • Closed
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo...
120 Reactions
849 Replies
123K Views
Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu. Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa...
59 Reactions
845 Replies
71K Views
Ushauri kwa nikki unakuwa fala chalii, fla kweli kweli
51 Reactions
845 Replies
125K Views
Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa...
29 Reactions
833 Replies
64K Views
Age 26 Hometown Dar es Salaam Occupation TV Broadcaster Biography Tune in on Sunday 1 May to get Bhoke’s full profile. Show itaanza may 1.... Haya kazi ni kwetu kumpa support dada yetu!
1 Reactions
818 Replies
87K Views
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza...
14 Reactions
811 Replies
96K Views
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
13 Reactions
807 Replies
108K Views
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano...
2 Reactions
805 Replies
217K Views
  • Closed
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi! Yote haya...
11 Reactions
799 Replies
158K Views
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar. Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada. Bado hakuna...
36 Reactions
794 Replies
140K Views
Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba...
84 Reactions
793 Replies
57K Views
====== Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha...
9 Reactions
791 Replies
133K Views
Back
Top Bottom