Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa...
1 Reactions
0 Replies
232 Views
Mitandao ya kijamii imetoa fursa kubwa sana kwa mtu yeyote ‘kwenda mjini’ chap. Hii ni orodha ya baadhi ya watu ambao kusingekuwa na intaneti, wasingepata umaarufu walioupata. DKT. LOUIS SHIKA...
18 Reactions
54 Replies
3K Views
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko...
15 Reactions
145 Replies
3K Views
#ETrending Follow @rickmedianews Usiku wa kuamkia leo Staa wa muziki @rayvanny amefanikiwa kushinda Tuzo 5 za #EAEA ( East Africa Arts Entertainment Awards) zilizofanyika nchini Kenya. Vipengele...
0 Reactions
13 Replies
485 Views
Kama ulikuwa hujui basi ni hivi aliyekuwa muimbaji na mfalme wa pop duniani Michael Jackson alipanga mipango ili aweze kuishi miaka 150 hapa duniani Baadhi ya mipango hiyo ni - Aliajiri...
9 Reactions
22 Replies
826 Views
Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti. Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya...
0 Reactions
7 Replies
889 Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
15 Reactions
152 Replies
6K Views
Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana. Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya...
72 Reactions
170 Replies
8K Views
Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za...
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo. Watu ilibidi...
4 Reactions
63 Replies
2K Views
  • Redirect
Huyu jamaa nadhani anajulikana kuwa ali left group kipindi kidogo aka shoga taajiri Africa. Najiuliza je pale mahakamani angekana yeye si me ingekuwaje au wangemfikiria pengine pa kumpeleka...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa Ferre Gola Le padre, aliyebarikiwa sauti nzuri na kipaji kikubwa cha kuimba mziki mzuri wa Rhumba kutoka DRC CONGO. Masaa 22 yaliyopita kutoka kwenye akaunti...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
1 Reactions
11 Replies
383 Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
21 Reactions
602 Replies
11K Views
Habari wakuu. Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3. Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
20 Reactions
71 Replies
2K Views
Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
1 Reactions
20 Replies
912 Views
🚨 Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
66 Reactions
221 Replies
10K Views
Msanii yupi ni mkali wa Mashairi yenye ujumbe wa Kutetea Haki na Utawala Bora? Roma Mkatoliki Vs Nay wa Mitego
0 Reactions
1 Replies
163 Views
  • Redirect
Mchezaji wa Mpira wa zamani wa American Football O J Simpson amefariki dunia Kwa majibu wa familia yake, O J Simpson amefariki dunia kwa ugonjwa wa Kansa O J Simpson amefariki akiwa na umri wa...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom