Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke. Amesema kwa sasa yupo na Pacome. Tumuombee arudiane na mkewe.
28 Reactions
315 Replies
19K Views
Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
In the vibrant and ever-evolving Nigerian music industry, new talents constantly emerge, captivating audiences with their unique sounds and fresh perspectives. One such rising star is Ayra Starr...
2 Reactions
5 Replies
548 Views
Baada ya kustaafu kutoka kwa tasnia ya filamu za watu wazima mnamo 2015, Mia Khalifa aliingia kwenye uhusiano, akachumbiwa, akaolewa, akatalikiana, akawa mwanamke, mkufunzi wa masuala kazi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo. Katika makundi haya kwa sasa kuna...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Fans and multiple conspiracy theorists are beginning to spread the idea that Takeoff was sacrificed and they are doing this using some facts from "Messy" music video by Quavo & Takeoff which was...
1 Reactions
11 Replies
415 Views
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
NI MTIKISIKO! Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba. Kiungo huyo...
49 Reactions
610 Replies
28K Views
Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
15 Reactions
225 Replies
12K Views
Comeback aliyopiga huyu mwamba haijawahi kutokea kwenye historia ya filamu nchini India. Pathan & Jawan zimewaka all time records za mauzo Bollywood, na cha hatari zaidi kuna na filamu nyengine...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
High school graduate, 17, climbing without ropes falls to his death in Colorado after posting a FINAL Instagram selfie A 17-year-old high school graduate died while out rock climbing in Colorado...
2 Reactions
4 Replies
486 Views
Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye...
21 Reactions
81 Replies
20K Views
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
Aliyekuwa Muigizaji maarufu video za ngono (pornography) Elisa Sanches ameacha rasmi kazi hiyo na kuamua kuwa mwamuzi wa Mchezo wa mpira wa miguu nchini Brazil. Mwamuzi Huyo kwa Sasa anaishi...
3 Reactions
10 Replies
857 Views
STILL D.R.E - Ufundi wa Mikono ya Jay Z unaoishi tangu 1999 mpaka leo #UZI Tar. 13 Feb 2022 ilifanyika fainali ya American Football maarufu km Super Bowl kati ya Los Angeles Rams na Cincinnati...
40 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana...
3 Reactions
24 Replies
495 Views
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni...
2 Reactions
5 Replies
427 Views
Back
Top Bottom