Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda.
Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira.
hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja...
Habari wakuu.
Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.
Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
Mchezaji wa Mpira wa zamani wa American Football O J Simpson amefariki dunia
Kwa majibu wa familia yake, O J Simpson amefariki dunia kwa ugonjwa wa Kansa
O J Simpson amefariki akiwa na umri wa...
Hii dunia katika kila tasnia zimekuwa zikitengeneza ma star, hugawia kwa viwango, wengine huitwa ma Super Star wengine huitwa Mega Stars. Lakini tuunapokuja Kwa Shahrukh Khan tunashindwa kupata...
Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35)...
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa;
1. Mungu alimpa wito...
Kuna stori zinatrend eti one of our best Celeb na msanii socialite eti kuna video zake zimelink viral.
Na eti ziko kwa dada yetu, hivi hii app ya dada sielewi elewi ndo naniii mpya bongo ya kuona...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali...
VISA na MIKASA
SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE…
Turudi nyuma kidogo,
Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema...
Huyu jamaa kwenye ngwasuma alikua moto mbaya sana.
Naweza kumfananisha na Chameleon kwa werrrason sasa hivi. Pia zamani sana kulikua na na dogo kule beta la muzika totoo ze bingwa nae alikua...
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri.
Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli...
Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,,
Wapenzi wa rap...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka...
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA
Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri...
Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi.
Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.