JamiiSMS
    Show/Hide This

    Topic: Mwaka Mpya- Mchakato wa katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi mapya na uwajibik mpya

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. Masaningala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2010
      Location : Kansay
      Posts : 455
      Rep Power : 805
      Likes Received
      114
      Likes Given
      378

      Default Mwaka Mpya- Mchakato wa katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi mapya na uwajibik mpya

      WanaJF, maveterani na wageni waliojiunga na forum hivi karibuni, ninawapa salaam za kheri ya mwaka mpya. Mimi ni mmoja wa wageni ambao najitokeza mbele yenu kwa kuanza mwaka mpya 2011 kwa kujitambulisha kwenu kama mwenzenu mjenga nchi mwenye nia ya kushiriki katika kuleta mageuzi ya nchi yetu ili iwe na siasa safi, kwa madhumuni ya kufanikisha na kuharakisha maendeleo ya kiuchumi (kuondoa umaskini), maendeleo ya kiroho (spirituality), na kudumisha utamaduni wa Kitanzania. Ni matumaini yangu kuwa nitashirikiana na wote ndani ya forum hii kwa lengo la kubadilishana mawazo kwa lengo la kujenga Tanzania (Tanganyika na Zanzibar).
      Mwaka 2011 nauona ni mwaka wa Mchakato wa Katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi Mapya ikiambatana na Uwajibikaji Mpya. Tujiandae katika haya.


    2. Katavi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 31,863
      Rep Power : 271424177
      Likes Received
      5828
      Likes Given
      3414

      Default Re: Mwaka Mpya- Mchakato wa katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi mapya na uwajibik mpya

      Karibu sana.....na heri ya mwaka mpya.

    3. Gad ONEYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 2,645
      Rep Power : 1099
      Likes Received
      159
      Likes Given
      653

      Default Re: Mwaka Mpya- Mchakato wa katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi mapya na uwajibik mpya

      Every man regards his own life as the New Year's Eve of time.


    Similar Topics

    1. Mawazo yangu juu ya mchakato wa katiba mpya!
      By Dijovisonjn in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 2
      Last Post: 16th July 2012, 19:01
    2. Mchakato wa katiba mpya na vipindi vya Tbc1
      By Maengo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 4
      Last Post: 23rd January 2012, 23:49
    3. Mchakato wa katiba mpya unakwamishwa na wachache
      By lamchaz in forum KATIBA Mpya
      Replies: 2
      Last Post: 8th April 2011, 15:31
    4. mchakato wa katiba Mpya
      By Mr zam in forum KATIBA Mpya
      Replies: 1
      Last Post: 2nd April 2011, 11:27

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...