Habari wana JF jina la Ulamaa Hemed lipo ktk mitandao mingi ya kijamii lkn ndio yule yule mmoja tu. Naombeni upendo na ushirikiano wenu ili niweze kuishi humu kwani IPO KIBAO LAKINI JF KIBOKO YAO. Ahsante.

Karibu sana Ulamaa Hemed. A.alaykum.
Karibu sana jf ndugu Ulamaa Hemed
Hahah wajua kujinadi ww...
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
Karibu sana
what a speech...!
U r welcome mkubwa!
Karibu sana mkuu jamvini.
Karibu sana JF mkuu.
Karibu sana ulamaa!
Follow Us Here