jaman mi japo si mgeni saaana ila ckupita jukwaa hili bana asalaam alekhum wakuu kuna umuhim wakupita maana si vizuri kuruka stage na asante kwa kupitia hapa
jaman mi japo si mgeni saaana ila ckupita jukwaa hili bana asalaam alekhum wakuu kuna umuhim wakupita maana si vizuri kuruka stage na asante kwa kupitia hapa
karibu mgeni..
asanteni sana wakuu
Karibu sana JF mkuu.
Karibu, we unaonekana mswahili nakupeleka jukwaa la lugha
ASIYEUMBA HAUMBUI
Karibu Muungwana.
Karibu sana..
karibu sana
Karibu mgeni
Pita ndani......................
.....
![]()
Follow Us Here