Wana J fongo mimi ni new member,Tafadhalini naomba mnipekee.
Wana J fongo mimi ni new member,Tafadhalini naomba mnipekee.
Karibu sana, ingawa hapa si mahali pake, inaonekana unapendelea sana maswala ya MMU
umeingilia mlango wa kutokea
Yaan umeingia hadi Chumbani..lol!
..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear
umeingia paka master room lkn karBu Cna.
K.a.r.i.b.u
karibu
Dah.... forum imeshabatizwa upya Invisible upo?
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Kama umejiunga kwa maono ya kuitumia forum hii kushare mawazo na kuchangia mijadala yenye tija kwa nchi na jamii yetu karibu sana; (Paying lip service to just cause; Osagyefo Kwame Nkurumah; Prezzo Ghana); japo kinyume na dhamira hiyo basi utakuwa umeingia mahali pasipo kufaa! none the less nafikiri 100 days honeymoon zitakunufaisha to take cue na kusimama vizuri kwenye jamvi. welcome onboard and best wishes.
Karibu sana
Karibu sana.
Zingatia kanuni na sheria zetu.
Karibu jamvini.
Karibu sana JF.
Karibu sana jf.
Pita ndani.
Follow Us Here