Me mgeni,nipokeeni.
Me mgeni,nipokeeni.
Jamani Arabela,mgeni siku ya kwanza mnampeleka chumbani?
Aku naogopa.
Do!
Itabidi niombe access jukwaa la wakubwa,
usijali Malema takutana tu.
Asante sana ndg Ritz,
mapokezi ya huku bab kubwa,
yani mpaka nimenenepa ghafla.
Trust me da Jane. Sasa utalala ukumbini?
Maana naona mnanitisha na hayo mapokezi yenu.
Haya akhsante Mzee wa Rula
Karibu sana. Una bahati!!!
Karibu jamvini Bikira.
Sijaingia kitambo sana katika hili jukwaa, kumbe nalo lina watu wamepinda hivi!!
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
[QUOTE=DaJane;4368966]Me mgeni,nipokeeni.[/QU karibu huku
mweeh! Umejileta khaa! Aya karibu uku
We mbona unarudia rudia sredi? Si ulishaposti hapa kwamba wewe ni bikira? Au haujampata mtu? Kama vp ni PM basi.
Follow Us Here