Me mgeni,nipokeeni.
Me mgeni,nipokeeni.
Jamani Mzee wa Rula,
mbona sikuelewi umaanishacho?
Ina mana mgeni akija unataka awe mpole?
Wengine macho yetu makavu,
Tushautwika tangu lyamba njwii!
Tunatoa aibu.
ID?
Ni member humu au?
Me ni New kama jamani,
mnanihukumu bure.
Babu Asprin we unakaguaga watu nasikia.
'kamba' ninazo tena za kumwaga,
miguu yote.
Mnanifananisha jamani.
Kha!!
cacico tena?
Mmeoana humuhumu tena?
Mzee wa Rula usishtuke jamani,mimi mgeni wa kila kitu.
Nimechangamka kwa maana nimekunywa togwa na chapati asubuhi.
Asprin anakutisha tu,anataka anikague peke yake eti.
Katavi njoo huku unipokee.
hahahaha Baba V huyu nlishamkagua kwenye ile ID nyingine.... STUKA Baba V....THINK!!! Ushamjua???
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Mbona washtuka yakhe?
Huwezi kunikagua au vp?
Asprin namsikiaga tu,
hebu a-kam huku athibitishe.
karbu karbu nyumbani! Karbu sebln na baadae chumbn!..krb sn
Mwambie DaJane namkaribisha sana tu
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
lol, jf inamambo co kdg.
Kwa ukaribisho mlompa u vgrn ushaondoka.
Krb mgn, hii ndo jf kama unavyoiona.
Karibu dada yetu,
ushakaguliwa?
Karibu sana.
Haya kbosho ntajaribu kuingia chumbani.
Asante Erickb52,
ndo nishakaribia hvo tena.
Follow Us Here