Kwa jina naitwa LONGITUDE.
Naomba kukaribishwa na wana Jamiiforums wote waliopo hapa ndani kushiriki katika shughuli za kila siku hapa mjengoni.
Ahsanteni
Kwa jina naitwa LONGITUDE.
Naomba kukaribishwa na wana Jamiiforums wote waliopo hapa ndani kushiriki katika shughuli za kila siku hapa mjengoni.
Ahsanteni
Karibu sana.
Karibu xaana.uwanja wako sasa
Karibu sana jamvini.
Pita ndani...
Pita ndani.
Follow Us Here