Jamani mi mgeni naombeni mnipokee
Jamani mi mgeni naombeni mnipokee
Haya mgeni nishakuwa mwenyeji. Kaizer kinywaji mbona hakifiki? Love u all mlionikaribisha.
ma love Kaizer nime kumssimo kweli? leo nakuhitaji mapema ma dearest japo nikupemo malovi davi.
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Ningekuwa siko na Amyner ningeomba unikabidhi mimi
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Karibu sana JF mkuu.
Pita ndani.
Erickb52 ulikuwa wapi hadi mgeni nimeota mabawa!
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
teh teh teh! Mkwara gani Erickb52?
Mkwara wa kuingia na kumchukua pedeshee Kaizer
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Follow Us Here