Jamani kwa wahusika wote. Nataka nislim. Kama kuna "sheikh". Niko tayari anaslimishe,na nipo serious Jamani kuanza rasmi kumtumkia Allah(S.A.W)
Jamani kwa wahusika wote. Nataka nislim. Kama kuna "sheikh". Niko tayari anaslimishe,na nipo serious Jamani kuanza rasmi kumtumkia Allah(S.A.W)
Sababu za msingi
Karibu katika himaya ya Allah.....
Wew si wa kwanza, Thienry Henry, Sagna, Tyson..... Na wengine kibao....
Lakini isije unafukuzia demuuuuu
Ban yako ni ya muda gani mkuu..? Naona kama u mwenyeji
Karibu sana jamvini. Ila umekosea njia, hiyo topic hapa si mahala pake. Peleka jukwaa husika. Karibu katika dini ya haki. Ukiandika neno Allah usiweke S.A.W. Andika ALLAH (S.W).
Huko unakoishi hakuna maimamu na masheikh mpaka uwasake jf? Manake hata Rome wanapatikana. Usifanye utani na imani aisee, sio fresh.
karibu sana.
Hatari,lakain karibu.
njoo na ubani.....
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Follow Us Here