Wanajamii,
Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.
Asanteni
Wanajamii,
Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.
Asanteni
Karibu mdada Dia Gnosis....jisikie uko nyumbani.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Karibu mrembo! Je bado upo upo?
Bado nipo....ahaa! usinambie umeshaanza kunita...(natania)
Nyani Ngabu,
Asante. Tayari najisikia niko nyumbani.
Karibu sana dada kaskazini ya wapi upo hamna jina??Sio vibaya kuuliza dada karibu sana jamvini!!!
Karibu sana Mwanadada Dia Gnosis!
Mie naishi mji wa makampuni ya uchimbuzi wa mafuta, Stavanger nchini Norway...
Karibu Dear!
Karibu saana ,ila hoja zinahitajika.Ili turekebishe yale yaliyomo kwenye jamii,hasa yasiyofaa
Kazi mnayo kweli kweli!!
Follow Us Here