kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma post kama guest..baada ya kunogewa na Jamiiforums sasa nimeamua kuingia mzima mzima hivyo wana jamvi naomba mnipokee. pamoja tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele

Karibu sana JF.
Karibu sana.
Karibu sana
karibu makoye. wewe ulikua unacheza namba 9 umitshumita au namba 3?
Karibu sana,usiingie kwanza subiri wabanduaji waje wakubandue maganda.
MP.
Follow Us Here