Show/Hide This

  Topic: Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko

  Report Post
  Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
  Results 61 to 80 of 179
  1. Realtor's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th March 2010
   Posts : 152
   Rep Power : 583
   Likes Received
   34
   Likes Given
   104

   Default Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko

   Wakuu salamu.

   Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.

   Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!

   Kilimo Kwanza!
   Baba V and hassan marley like this.


  2. masapile's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th April 2011
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   3

   Default Re: kilimo cha vitunguu swaumu

   thanx. na inachukua muda gani hadi vikomae?

  3. The only's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th May 2011
   Location : wilaya mpya ya katavi
   Posts : 367
   Rep Power : 566
   Likes Received
   72
   Likes Given
   151

   Default Re: kilimo cha vitunguu swaumu

   Quote By masapile View Post
   naomba mtu anayejua eneo zuri kwa kilimo cha vitunguu swaumu anifahamishe
   umekutana na mimi mtaalamu tatizo lako kwisha niambie upo mkoa gan nikushushie technical know how
   Stoudemire likes this.

  4. Chuck j's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2011
   Location : DAR ES SALAM/KINONDONI
   Posts : 738
   Rep Power : 636
   Likes Received
   95
   Likes Given
   5

   Default Msaada kilimo cha vitunguu saumu

   Wandugu nimeamua kuingia kwenye kilimo,ninawaza kuanza na kitunguu saumu,..naomba mnijuze wapi panafaa kulima?gharama ya kutunza hekari 1,muda mpaka kukomaa, . Pili nafikia pia maharage ya kijivu(ya mbeya) detail zake pia,, asanteni.

  5. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,058
   Rep Power : 4385
   Likes Received
   3448
   Likes Given
   6703

   Default Re: Msaada kilimo cha vitunguu saumu

   Juzi kati nimesikia tunaviagiza toka nchi za mbali. Kwani bado tunalima huku kwetu?

  6. Kamongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2009
   Posts : 484
   Rep Power : 702
   Likes Received
   46
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chuck j View Post
   Wandugu nimeamua kuingia kwenye kilimo,ninawaza kuanza na kitunguu saumu,..naomba mnijuze wapi panafaa kulima?gharama ya kutunza hekari 1,muda mpaka kukomaa, . Pili nafikia pia maharage ya kijivu(ya mbeya) detail zake pia,, asanteni.
   hata mimi nataka kujua vinastawi maeneo gani,ngoja tusubiri wataalam

  7. Kamongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2009
   Posts : 484
   Rep Power : 702
   Likes Received
   46
   Likes Given
   0

   Default Re: Msaada kilimo cha vitunguu saumu

   Nasikia vina soko zuri

  8. King kingo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th September 2010
   Posts : 401
   Rep Power : 610
   Likes Received
   19
   Likes Given
   27

   Default Re: Msaada kilimo cha vitunguu saumu

   Quote By Ndahani View Post
   Juzi kati nimesikia tunaviagiza toka nchi za mbali. Kwani bado tunalima huku kwetu?
   Duh hii nchi ina michezo mingi sana ya kuigiza, hadi vitunguu saumu tunaagiza kutoka nje????

  9. M-pesa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2011
   Posts : 605
   Rep Power : 611
   Likes Received
   126
   Likes Given
   20

   Default Re: Msaada kilimo cha vitunguu saumu

   Mkuu nakushauri tumia google search. Utapata habari za kutosha kuhusu kilimo cha vitunguu saumu/swaumu.

  10. Daniel Anderson's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2011
   Location : LUPA CHUNYA
   Posts : 878
   Rep Power : 0
   Likes Received
   141
   Likes Given
   407

   Default Re: Kilimo cha vitunguuu

   Tunaomba maendeleo zaidi wakuu!

  11. Bushloiaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 447
   Rep Power : 610
   Likes Received
   160
   Likes Given
   54

   Default Re: Kilimo cha vitunguuu

   Wakuu naomba mnisaidie kuhusu vitunguu saumu,vina mahitaji gani kwa maana ya udongo na je kama navyo vinahitaji majo mengi kama vitunguu maji na soko lake linapatikana wapi.Shukrani

  12. Mangolo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th October 2011
   Posts : 28
   Rep Power : 475
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Kilimo cha vitunguuu

   mkuu hata mimi ningetaka tuungane katika uzalishaji ili tuzalishe kwa wingi na kwa kiwango cha kimataifa,nafanya kazi hizihizi za kilimo.

  13. M-pesa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2011
   Posts : 605
   Rep Power : 611
   Likes Received
   126
   Likes Given
   20

   Default Bei ya vitunguu yazidi kuwanufaisha wakulima!

   Bei ya vitunguu yazidi kupanda na hivyo kuzidi kuwanufaisha wakulima.
   Mwezi August na September 2011 bei ya vitunguu ilikuwa ni kati ya TZS 55,000 - TZS 60,000 kwa gunia.
   Mwezi huu wa November bei imepanda na kufikia TZS 85,000 - TZS 90,000 kwa gunia.
   Nchi zinazonunua bidhaa hiyo kwa wingi zimetajwa kuwa ni kenya, msumbiji, madagascar na Comoro.
   Hongereni wakulima wa vitunguu!

   Source: ITV taarifa ya habari za biashara

  14. Sangarara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2011
   Posts : 9,153
   Rep Power : 429498733
   Likes Received
   4309
   Likes Given
   5668

   Default Re: Bei ya vitunguu yazidi kuwanufaisha wakulima!

   Safi
   Maeneo gani yanalima hii kitu Tanzania?

  15. #74
   Gurta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2010
   Location : Mang'ola
   Posts : 2,110
   Rep Power : 1028
   Likes Received
   432
   Likes Given
   572

   Default Re: Bei ya vitunguu yazidi kuwanufaisha wakulima!

   Mbona huku Mang'ola bado hawatulipi bei hiyo?

  16. M-pesa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2011
   Posts : 605
   Rep Power : 611
   Likes Received
   126
   Likes Given
   20

   Default

   hiyo ni bei ya kariakoo mkuu! Mang'ola iko wapi?
   Quote By Gurta View Post
   Mbona huku Mang'ola bado hawatulipi bei hiyo?
   Stoudemire likes this.

  17. CHE GUEVARA-II's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2010
   Posts : 438
   Rep Power : 628
   Likes Received
   85
   Likes Given
   47

   Default Re: Bei ya vitunguu yazidi kuwanufaisha wakulima!

   Quote By Gurta View Post
   Mbona huku Mang'ola bado hawatulipi bei hiyo?
   Nang'ola iko wapi?
   Ekari moja wanakodisha sh. ngapi kwa msimu/ kwa mwaka?
   Unaweza kupata maximum ekari ngapi?
   Gharama ya kulima na kutunza ekari moja ni sh. ngapi>
   Ekari moja inatoa gunia ngapi? Minimum na maximum?
   Huko Mang'ola gunia moja mnauza bei gani?
   Mtu anaweza kununua gunia 250 kwa siku ngapi?
   Masikini_Jeuri and ndyoko like this.
   I cannot live WITHOUT NO in my life - that's why I am not a soldier!!!

  18. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,019
   Rep Power : 2179
   Likes Received
   744
   Likes Given
   5086

   Default Kilimo cha vitunguu, nataka Facts

   Wapwaz!

   Wapi ni eneo bora kiuendeshaji ?

   Aina gani ya vitunguu ina tija zaidi kwa mkulima

   Ekari moja yaweza toa kiasi gani
   Utunzaji na masoko yake nje na ndani
   24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

  19. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,019
   Rep Power : 2179
   Likes Received
   744
   Likes Given
   5086

   Default Re: Kilomo cha vitunguu, nataka Facts

   Muda gani vinachukua shambani na maandalizi yake yakoje, ukizingatia gharama kwa ekari?
   24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

  20. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,019
   Rep Power : 2179
   Likes Received
   744
   Likes Given
   5086

   Default Re: Bei ya vitunguu yazidi kuwanufaisha wakulima!

   Mods naomba muunagsnishe hii na ile yangu.ili tuchangie mawazo kwa uzuri zaidi
   24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

  21. CAMARADERIE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : 1 Luthuli Street
   Posts : 4,318
   Rep Power : 2838
   Likes Received
   1697
   Likes Given
   1169

   Default Re: Kilomo cha vitunguu, nataka Facts

   Mulungu, L.S., S.O.W.M. Reuben, Susan Nchimbi-Msolla, R.N. Misangu, L.B. Mbilinyi and M.M. Macha. (1998) Performance of nine exotic and local onion (Allium cepa L.) genotypes grown under a dry season tropical condition at Morogoro, Tanzania: 1: Yield and its components. South African Journal of Science, 94: 451- 454.

   Tanganyika

  Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Ardhi ya kilimo
   By pendael in forum Matangazo madogo
   Replies: 6
   Last Post: 8th May 2014, 18:19
  2. Ardhi ya kilimo Tsh 5000 kila Ekari ya mbuga
   By newmzalendo in forum Matangazo madogo
   Replies: 12
   Last Post: 1st May 2014, 12:58
  3. Madini, Kilimo, Ardhi ufisadi mtupu
   By MPadmire in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 0
   Last Post: 20th May 2011, 21:48
  4. Ardhi ya kilimo!!!
   By kanyagio in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 34
   Last Post: 5th December 2010, 19:07

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...