JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

  Report Post
  Results 1 to 13 of 13
  1. culboy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2011
   Posts : 523
   Rep Power : 579
   Likes Received
   25
   Likes Given
   9

   Default Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona tena ugonjwa kwako chanjo kwanza 1)newcastle baada ya siku 7(2)siku ya 14 gomboro(3)siku ya 21 Newcastle(4) siku ya 28Gomboro hutoona kuku wako wanakufa ovyo tena ukizingatia hizi chanjo mjasiriamali
   Mama Joe and Cisauti like this.

  2. culboy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2011
   Posts : 523
   Rep Power : 579
   Likes Received
   25
   Likes Given
   9

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Kwa hapa kitomari kwakweli kwa elimu hii wajasiriamali watafika mbali tunashkuru kaka

  3. ntemi obanhu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 3rd October 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default

   Nakupata wapi bro. weka namba ya simu.

  4. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,365
   Rep Power : 98699
   Likes Received
   790
   Likes Given
   59

   Default

   Quote By kitomari2 View Post
   Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona tena ugonjwa kwako chanjo kwanza 1)newcastle baada ya siku 7(2)siku ya 14 gomboro(3)siku ya 21 Newcastle(4) siku ya 28Gomboro hutoona kuku wako wanakufa ovyo tena ukizingatia hizi chanjo mjasiriamali
   Kitumari wewe ni mfigaji mahiri sana lakini ungetuambia kidogo hao kuku ni kienyeji au kisasa

  5. Mzururaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : morogoro
   Posts : 662
   Rep Power : 588
   Likes Received
   161
   Likes Given
   7

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Asante bro

  6. Kasungura's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th March 2007
   Posts : 72
   Rep Power : 735
   Likes Received
   10
   Likes Given
   2

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Thx sana mkuu kwa kujitolea kuwa mwalimu wetu.

  7. malamsha shao's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Location : Arusha & rombo
   Posts : 149
   Rep Power : 461
   Likes Received
   21
   Likes Given
   13

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   2pe na jina la chanjo yaani jina la kampuni

  8. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,501
   Rep Power : 21030550
   Likes Received
   675
   Likes Given
   726

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Tahadhali kwa wafugaji wa kuku, TFDA wamegundua chanjo fake zikizalishwa na kiwanda cha chanjo Kibaha. Soma Guardian ya leo IPP website

  9. boboo''s Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th June 2013
   Posts : 195
   Rep Power : 433
   Likes Received
   39
   Likes Given
   100

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Quote By Mama Joe View Post
   Tahadhali kwa wafugaji wa kuku, TFDA wamegundua chanjo fake zikizalishwa na kiwanda cha chanjo Kibaha. Soma Guardian ya leo IPP website
   Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.

  10. Githeri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 805
   Rep Power : 2157081
   Likes Received
   299
   Likes Given
   231

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Asante kitomari2.

  11. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,501
   Rep Power : 21030550
   Likes Received
   675
   Likes Given
   726

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Sorry nilikuwa mbali, Chanjo ni ya ugonjwa wa Newcastle na kiwanda ni cha Kibaha ambacho kilipewa kibali na kinatengeneza zingine nzuri tu ajabu iliripotiwa zimekamatwa Kigamboni na ku trace zimetengenezwa na hicho hicho kiwanda ingawa sasa walisema wanasimamisha ila tuwe waangalifu maana huu ugonjwa....
   Stoudemire likes this.

  12. SAM BILGATE's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th February 2013
   Posts : 29
   Rep Power : 417
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   ahsante bro, kizuri share na wenzako na wenzako ndio cc humu humu. Mpaka kieleweke. Big up!

  13. Washawasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2006
   Location : jo'burg
   Posts : 7,988
   Rep Power : 54408414
   Likes Received
   1697
   Likes Given
   3003

   Default Re: Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

   Santeeeee kwa hili mkuu.

   SHUKA HALINA MFUKO.
   BORA NIIANGALIE AFYA YANGU KWA SASA,KWA MAANA MAISHA YANGU KUNA WAMBEA WANANISAIDIA KUYAANGALIA.  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...