JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. LuisMkinga's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th January 2012
   Posts : 59
   Rep Power : 431
   Likes Received
   14
   Likes Given
   121

   Default mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   Habari za kazi wajasiriamali wezangu.. kwa wale wanaohitaji mabanda bora( yenye design tofauti tofauti kutokana na eneo lako) kwa ajili ya kufugia kuku wa kienyeji.
   faida ya haya mabanda.
   1.Rahisi kuhamishika
   2. Yana njia rahisi kwa ajili ya kufanyia usafi na matengenezo.
   3. yana sehemu maalum kwa ajili ya kuku kutagia.
   4. banda lina hewa ya kutosha na mwanga kwa ajili ya ufugaji bora.
   picha chache za sample.

   tafadhari ni PM au [email protected] piga +255 715 805 600.

   Click image for larger version. 

Name:	new-sussex1.png 
Views:	0 
Size:	667.2 KB 
ID:	84848 Click image for larger version. 

Name:	new-kent-double-run3.png 
Views:	0 
Size:	531.1 KB 
ID:	84849 Click image for larger version. 

Name:	new-sussex2.png 
Views:	0 
Size:	691.2 KB 
ID:	84850
   Mkeshahoi likes this.

  2. #2
   Chasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 4,280
   Rep Power : 1556
   Likes Received
   1898
   Likes Given
   512

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   mkuu haya mabanda si dhani kama huku yanafaa, haya ni ya Ulaya huko Uingereza na kwingineko, kwa mazingira ya kuku, ni vigumu sana, unaweza kuta limebebwa zimazima na kuku wakiwemo
   If you don’t build your dream, someone else will hire you to help them build theirs. Dhirubhai Ambani

  3. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,029
   Rep Power : 17955055
   Likes Received
   405
   Likes Given
   518

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   Pamoja na kubebwa hilo paa na mvua vipi au unaweka ndani ya nyumba? Design izingatie hali ya hewa mvua ikiwemo. boresha design tutakutafuta

  4. truckdriver's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th May 2012
   Posts : 53
   Rep Power : 413
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   bei zako zikoje?

  5. Jangakuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2012
   Posts : 463
   Rep Power : 497
   Likes Received
   172
   Likes Given
   284

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   Quote By LuisMkinga View Post
   Habari za kazi wajasiriamali wezangu.. kwa wale wanaohitaji mabanda bora( yenye design tofauti tofauti kutokana na eneo lako) kwa ajili ya kufugia kuku wa kienyeji.
   faida ya haya mabanda.
   1.Rahisi kuhamishika
   2. Yana njia rahisi kwa ajili ya kufanyia usafi na matengenezo.
   3. yana sehemu maalum kwa ajili ya kuku kutagia.
   4. banda lina hewa ya kutosha na mwanga kwa ajili ya ufugaji bora.
   picha chache za sample.

   tafadhari ni PM au [email protected] piga +255 715 805 600.

   Click image for larger version. 

Name:	new-sussex1.png 
Views:	0 
Size:	667.2 KB 
ID:	84848 Click image for larger version. 

Name:	new-kent-double-run3.png 
Views:	0 
Size:	531.1 KB 
ID:	84849 Click image for larger version. 

Name:	new-sussex2.png 
Views:	0 
Size:	691.2 KB 
ID:	84850
   kuku mimi nimeyakubali plz niwekee bei zako mkuu, au niPM

  6. JF SMS Swahili

  7. Imany John's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2011
   Posts : 2,292
   Rep Power : 3089
   Likes Received
   582
   Likes Given
   6

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   jamani kwenye paa la mbao kuna uwezekano wa kuwekwa bati. Hakuna haja ya kuanza kumlaumu mleta mada. Mabanda mazuri kwa ujumla
   Maundumula likes this.

  8. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,029
   Rep Power : 17955055
   Likes Received
   405
   Likes Given
   518

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   Imany asante ni maboresho tu. Weja bei na location

  9. #8
   Chasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 4,280
   Rep Power : 1556
   Likes Received
   1898
   Likes Given
   512

   Default Re: mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri.

   Haya mabanda na ya Nchi za Baridi kama Ulaya ambako ndo hutumika sana na ikigooge utakutana nayo mengi tu, ila kwa mazingira ya kuku Uswahilini hayafai kabisa na si kwamba napondea ila ni mazungira kwa sababu kwa Ulaya nazani mnajua mambo kama wezi ni hakuna kabisa, Ila huku Bongo ni tatizo kubwa sana
   Maundumula likes this.
   If you don’t build your dream, someone else will hire you to help them build theirs. Dhirubhai Ambani

  10. JF SMS Swahili

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...