JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ufugaji wa Samaki

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 44
  1. Strawberry's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th November 2012
   Posts : 219
   Rep Power : 416
   Likes Received
   84
   Likes Given
   5

   Default Ufugaji wa Samaki

   Habari za leo wana JF
   naomba msaada kwa anaefuga ama kujua ufugaji wa samaki maji baridi.
   Na uandaaji wa mabwawa unakuwaje?
   asanteni sana

  2. thinka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2011
   Posts : 282
   Rep Power : 498
   Likes Received
   71
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Chipukizi View Post
   Ukitaka working demo ya hii kitu ipo inafanya kazi hapa Dar so welcome to have a look at it
   Pia ukiitaji automatic system ya kuzalisha vitoto vya samaki(full Automatic) tuwasiliane mkuu
   Wap hio ipo tujifunze
   akohi likes this.

  3. akohi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2012
   Posts : 338
   Rep Power : 460
   Likes Received
   60
   Likes Given
   68

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Quote By Chipukizi View Post
   Ukitaka working demo ya hii kitu ipo inafanya kazi hapa Dar so welcome to have a look at it
   Pia ukiitaji automatic system ya kuzalisha vitoto vya samaki(full Automatic) tuwasiliane mkuu
   Mkuu Chipukizi unapatikanaje mi pia naishi kigamboni Geza ulole. Mtan VP unaishi kigamboni ipi tukutane ili tuchangie mawazo namna ya kuanzisha pia ikiwezekana twende kwa Chipukizi na chuoni Bagamoyo
   www.oric.co.tz and www.aio.co.tz

  4. akohi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2012
   Posts : 338
   Rep Power : 460
   Likes Received
   60
   Likes Given
   68

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Chipukizi au yeyote tunaombeni walau A, B, C kama wenzetu wanAvyofanya katika ufugaji kuku walau tupate picha halisi kujua ili nianze inanikazim niwe na sh ngapi na nitarAjie kuuza baada ya muda gani ofcuz na changamoto zake pia ni muhimu sana kuziainisha
   www.oric.co.tz and www.aio.co.tz

  5. mfianchi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2009
   Location : Likulufusi
   Posts : 4,203
   Rep Power : 1395
   Likes Received
   799
   Likes Given
   1619

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Quote By Malila View Post
   Kwenye bwawa la kujenga kama haya yetu hawazaliani, lakini ktk bwawa la asili wanazaliana sana. Nimewakamata cat fish watoto toka ktk vidimbwi kando ya mto na nimeviweka pamoja ktk bwawa ili nione kama hawatazaliana. Hiki kibwawa kinazidi kupata uasili fulani kwa sababu sitaki kukitibua kabisa ili nione haya maneno kama ni kweli.

   Kitoga wapo zaidi Morogoro, sina hakika kama generation ni moja, pia kuna samaki anaitwa Mjonga, huyu hupatikana Kilombero huko Moro pekee duniani. Tatizo hawa samaki ( kitoga, mjonga,mkunga na wengine wa asili ni) wagumu kufugika na kuzaliana. Majaribio yanaendelea juu ya samaki aitwae black basa ( spelling sijui), huyu anazaliana na growth rate ni kubwa, ni wa maji baridi, anafugwa sana Igowole Mufindi, alitokea Songea ni mtamu sana.
   Na je wa ziwa Nyasa,nawajua kwa jina la kienyeji wanaitwa Mbasa ,wengine Mbagale,ni wakubwa kama sato na watamu sana kwa anaejua je wanaziliana wakifugwa kwenye mabwawa ya kisasa.
   MFUNGWA HACHAGUI GEREZA

  6. #25
   Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Ni wapi ilipo niweze kuja?

  7. JF SMS Swahili

  8. #26
   Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chipukizi View Post
   Ukitaka working demo ya hii kitu ipo inafanya kazi hapa Dar so welcome to have a look at it
   Pia ukiitaji automatic system ya kuzalisha vitoto vya samaki(full Automatic) tuwasiliane mkuu
   Ni wapi huko niweze kuja kujifunza zaidi

  9. #27
   Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   [QUOTE=akohi;5783686]Chipukizi au yeyote tunaombeni walau A, B, C kama wenzetu wanAvyofanya katika ufugaji kuku walau tupate picha halisi kujua ili nianze inanikazim niwe na sh ngapi na nitarAjie kuuza baada ya muda gani ofcuz na changamoto zake pia ni muhimu sana kuziainisha[/QUOTE

   nipo mikadi ni vizuri tukiwasiliana na kutafuta maelekezo zaidi

  10. #28
   Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chipukizi View Post
   Ukitaka working demo ya hii kitu ipo inafanya kazi hapa Dar so welcome to have a look at it
   Pia ukiitaji automatic system ya kuzalisha vitoto vya samaki(full Automatic) tuwasiliane mkuu
   Uko wapi ndugu?

  11. #29
   Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   wapi upo na tutawasiliana vipi? kama hutojali pm mi namba yako

  12. mandieta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2012
   Posts : 4,659
   Rep Power : 10586
   Likes Received
   676
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Hivi hao tilapia nikipandisha na kuku wa kienyeji siwezi pata uzao mzuri kweli?maana nataka kuku wanaotaga sana na kuvumilia magonjwa!

  13. Chipukizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Location : Manzese
   Posts : 1,300
   Rep Power : 827
   Likes Received
   343
   Likes Given
   97

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Kwa watakaopenda kuona how Aquaphonic work.siku nzuri ni weekend so Mtam na wengine wote interested tuwasiliane ijumaa ili tupange kama iwe jumamos au jumapili mje muone
   Bagamoyo Pale Chuoni wana mambwawa ya kawaida na wanauza Vitoto vya sato shillingi 50 kimoja. Kambale pia wapo. Kama kuna anayependa kwenda pale Bagamoyo Mbegani for study tour pia twaweza kupanga ila wao wanatembelewa working days tu.so inabidi iwe kati ya jumatatu to ijumaa working hrs.sisi vitoto vya kuanzia tulinunua Bagamoyo,lakini katika vitoto hivyo tutapata wazazi wa mbegu siku zijazo.
   Katika ufugaji wa samaki kuna vitu muhimu vya kuzingatia.Samaki wanaokuwa kwa haraka ni Madume.Je utapataje Madume watoto? Ipo Dawa ambayo unaiweka katika chakula cha samaki watoto,baada ya muda 99% ya hawa watoto samaki wanageuka Madume.Kisha wewe unaendelea kuwalisha kama kawaida.
   Samaki anaweza kula mchanganyiko wa chakula cha kuku lakini awezi pata virutubisho vyote kwani vingine vitapotea katika maji.
   Hili pia ni tatizo kubwa hapa kwetu Tanzania juu ya ulishaji samaki ili wakue haraka.
   Samaki ili wakue haraka na kwa faida ya mfugaji chakula chake kinatakiwa kiwe katika mfumo wa pallets (kama vigololi vidogo size ya ulezi,mtama au zaidi) hii inamfanya samaki akila chakula katika mfumo wa pallets kumeza all food contents (minerals,protein,starch etc)
   Mashine zipo za kutengeneza fish food,nikipata muda wakati nikiwa na PC ntaweza weka some docs za fish food,fish sex convention (how to do it),Aquaphonic and modern fish keeping ,nna docs nyingi sana za haya maswala but at this time nipo Mobile so siwezi attach kwa sasa
   Last edited by Chipukizi; 26th February 2013 at 09:31.

  14. Chipukizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Location : Manzese
   Posts : 1,300
   Rep Power : 827
   Likes Received
   343
   Likes Given
   97

   Default

   Some times let us be serious! Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza post kitu kama hiki kweli?

   Quote By mandieta View Post
   Hivi hao tilapia nikipandisha na kuku wa kienyeji siwezi pata uzao mzuri kweli?maana nataka kuku wanaotaga sana na kuvumilia magonjwa!
   Kuku wanaotaga kwa sana 24hrs two eggs) na wanaovumilia magonjwa wapo Israel kama unahakika na hii post yako just PM me but acha masihara ndugu

  15. CHAI CHUNGU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2012
   Posts : 1,437
   Rep Power : 739
   Likes Received
   578
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By mandieta View Post
   Hivi hao tilapia nikipandisha na kuku wa kienyeji siwezi pata uzao mzuri kweli?maana nataka kuku wanaotaga sana na kuvumilia magonjwa!
   SAMAKI na KUKU?

  16. CHAI CHUNGU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2012
   Posts : 1,437
   Rep Power : 739
   Likes Received
   578
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chipukizi View Post
   Some times let us be serious! Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza post kitu kama hiki kweli?   Kuku wanaotaga kwa sana 24hrs two eggs) na wanaovumilia magonjwa wapo Israel kama unahakika na hii post yako just PM me but acha masihara ndugu
   Si ndio ata mimi nimeshangaa,by the way kama Kuna kuku wa hivyo 24hrs=2eggs naomba unisaidie mie nahitaji kuku wa namna hiyo.

  17. vivios's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th January 2013
   Posts : 178
   Rep Power : 403
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Chipukizi ni pm namba yako basi plz

  18. Sabayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2010
   Posts : 2,280
   Rep Power : 933
   Likes Received
   787
   Likes Given
   1721

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Quote By Chipukizi View Post
   Kwa watakaopenda kuona how Aquaphonic work.siku nzuri ni weekend so Mtam na wengine wote interested tuwasiliane ijumaa ili tupange kama iwe jumamos au jumapili mje muone
   Bagamoyo Pale Chuoni wana mambwawa ya kawaida na wanauza Vitoto vya sato shillingi 50 kimoja. Kambale pia wapo. Kama kuna anayependa kwenda pale Bagamoyo Mbegani for study tour pia twaweza kupanga ila wao wanatembelewa working days tu.so inabidi iwe kati ya jumatatu to ijumaa working hrs.sisi vitoto vya kuanzia tulinunua Bagamoyo,lakini katika vitoto hivyo tutapata wazazi wa mbegu siku zijazo.
   Katika ufugaji wa samaki kuna vitu muhimu vya kuzingatia.Samaki wanaokuwa kwa haraka ni Madume.Je utapataje Madume watoto? Ipo Dawa ambayo unaiweka katika chakula cha samaki watoto,baada ya muda 99% ya hawa watoto samaki wanageuka Madume.Kisha wewe unaendelea kuwalisha kama kawaida.
   Samaki anaweza kula mchanganyiko wa chakula cha kuku lakini awezi pata virutubisho vyote kwani vingine vitapotea katika maji.
   Hili pia ni tatizo kubwa hapa kwetu Tanzania juu ya ulishaji samaki ili wakue haraka.
   Samaki ili wakue haraka na kwa faida ya mfugaji chakula chake kinatakiwa kiwe katika mfumo wa pallets (kama vigololi vidogo size ya ulezi,mtama au zaidi) hii inamfanya samaki akila chakula katika mfumo wa pallets kumeza all food contents (minerals,protein,starch etc)
   Mashine zipo za kutengeneza fish food,nikipata muda wakati nikiwa na PC ntaweza weka some docs za fish food,fish sex convention (how to do it),Aquaphonic and modern fish keeping ,nna docs nyingi sana za haya maswala but at this time nipo Mobile so siwezi attach kwa sasa
   Inawezekana samaki kubadili jinsia kwa dawa?
   NAIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YOTE NA WATU WAKE WOTE EEE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!!!!

  19. Chipukizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Location : Manzese
   Posts : 1,300
   Rep Power : 827
   Likes Received
   343
   Likes Given
   97

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   I have attached some materials regarding AQUAPHONIC FISH KEEPING.more still to come
   Attached Files
   thinka likes this.

  20. Mtam's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 386
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chipukizi View Post
   Ukitaka working demo ya hii kitu ipo inafanya kazi hapa Dar so welcome to have a look at it
   Pia ukiitaji automatic system ya kuzalisha vitoto vya samaki(full Automatic) tuwasiliane mkuu
   mpo dar sehem gani

  21. akohi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2012
   Posts : 338
   Rep Power : 460
   Likes Received
   60
   Likes Given
   68

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Great team, I'm so much interested as well, let me know where to meet so that we can go for demo. Thx!
   www.oric.co.tz and www.aio.co.tz

  22. Kubota's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 494
   Rep Power : 17964548
   Likes Received
   635
   Likes Given
   614

   Default Re: Ufugaji wa Samaki

   Quote By Chipukizi View Post
   I have attached some materials regarding AQUAPHONIC FISH KEEPING.more still to come
   Nakushukuru mwanzisha uzi Strawberry, na zaidi sana hongera kwako CHIPUKIZI kwa ukarimu wa hali ya juu kuweka taarifa zenye kunufaisha umma na PDF ulizoingiza hapa! Mimi hii ni mara ya kwanza kukutana na hii concept ya Aquaponics na nimevutiwa kuliko maelezo! Najisikia hadi mwili kusisimka kwamba unaweza kutoa mzigo mkubwa wa samaki na mbogamboga kwenye eneo dogo vile! Iliyopo nami lazima nifunge safari siku moja nikajionee mwenyewe huko Mbegani Bagamoyo na ninaimani kufikia wakati huo wadau kadhaa mtakuwa mmeshafikia hatua fulani nitapenda niwatembelee! Shauku yangu ni kufanya utundu wa jinsi ya kuichakachua hii technolojia ili iweze kufanyika kwa kutumia vifaa vinavyopatikana kwenye mazingira yetu, ninaamini inawezekana kufanya uchakachuaji! Kwa hili la Aquaponics sitalisahau jina la Chipukizi na kwa hili nitaisujudia JF daima maana JamiiForums kwangu ni zaidi ya CHUO KIKUU!!
   Chipukizi likes this.

  23. JF SMS Swahili

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...