Naomba mwenye uelewa juu ya hii biashara nina mtaji wa kutosha na wilaya ninayokaa hamna huduma hii ya internate cafe so ningependa kuifanya
Naomba mwenye uelewa nayo anielekeze jinsi ya kuianzisha na je inalipa?
Nawasilisha

Inalipa kiasi chake tafuta sehemu nzuri weka PC za kutosha,weka Photocopy....nenda ttcl wakupe nduki!!ukiweza kupata kila PC masaa 8...kwa siku utapiga hesabu zako na itakulipa!!
hii biashara nahisi ni ngumu ,haswa tangu uingiaji wa smartphones na modem...
"Be not afraid!" Giovanni Paolo Segundo
Zamani kwenye cyber cafes ilikuwa foleni kusubiria mashine. Siku hizi nivigumu kupata foleni. Weka computer chache ila kuwe na upande wa stationery, typing, printing, photocopy na ikiwezekana passport size photo za hapo hapo.
Chash kamaliza kila kitu,kaz kwako!
Usisahau Mpesa,tigo na Airtel.
Uko wilaya gani mkuu?
No comment yafwate waliyo kuandikia waliotangulia ndugu
Hajasema tuko wilaya gani!
Follow Us Here