wakubwa mlioko dsm au pande yyt naomba msaada wapi nitapata viti imara vya plastiki na kwa bei gani, nataka ninunue ili niwe nakodishia watu kwa ajili ya shughuli mbalimbal, nitashukuru sana kama nitapata taarifa kwa kina.

wadau wa viti jamani msaada mdogo wenu naomba
CELLO ni imara shs 13000 kimoja kaika maduka ya jeshi, uraiani itazidi kidogo
Mi pia na-recommend cello, nimeishavitumia na sijajuta, bei ni kama alivyosema mkuu hapo juu, ila hata kariakoo utapata kwa bei hiyo hiyo ukizunguka vizuri plus kubagain
Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu!
asanteni wakuu pamoja sana
Follow Us Here