Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

      Wadau,,,tupo kwenye mchakato wa mwisho mwisho wa kuanzisha N.G.O,ambapo kwa sasa tunasubiria green light toka ofisi ya msajiri wa vyama vya hiyari(toka wizara ya mambo ya NDANI),namaanisha kupewa cheti cha USAJILI WA N.G.O
      Lakini tunakabiliwa na changamoto moja,hasa ya funding resources na pia uandikaj wa attractive grants,tunaomba kwa wadau mlipo hapa wale wenye skills na information kuhusu grants,tunachohitaji ni information za funding resources(grants providers),na pia kama inawezekana tunaomba ututumie hata soft copy ya grant proposal,maana kila chenye mwanzo kina UGUMU WAKE.
      Asasi yetu itajikita katika utoaji wa elim kwa wanafunz wa primary na secondary juu ya athari za matumiz ya MADAWA YA KULEVYA,pamoja na masuala mengineyo,hii itakuwa maeneo ya rural na urban.
      Kwa mwenye lolote naomba atutupie kupitia
      Barua pepe:[email protected]

    2. Miaka 50

    3. #2
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

      Wadau nasubiri

    4. #3
      kupelwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Location : DAR-ES-SALAAM
      Posts : 456
      Rep Power : 483
      Likes Received
      120
      Likes Given
      31

      Default Re: Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

      fundraising management ni taaluma, na ni pesa kwa maana nyingine, ni vigumu mtu kuku pesa hivihivi , kufanya hivyo yeye katosheka kivipi?ni ukweli wale wote wenye nia njema ,watakupa kwa makubaliano maalumu kama uko tayari waliana nami kwa barua pepe:[email protected]

    5. #4
      Mwanaharakatihuru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2012
      Posts : 474
      Rep Power : 0
      Likes Received
      114
      Likes Given
      14

      Default Re: Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

      kaka ntakucheck mkuu shaka ondoa tatizo humu kukutana na mtu unakuwa umesha ji reveal ID yako........damn anyway nita create email fake halafu ntakupa msaada lots of funds are go unutilized bana

    6. #5
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Re: Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa N.G.O NAOMBA MSAADA

      Mkuu kwa kweli hii ishu ya NGOs kwa sasa ni pasua kichwa sana, na hii ni kutokana na usanii mwingi sana unao fanywa na wabongo, Mtu anaanzisha NGOs ya WATOTO YATIMA, theni anaishia kula misaada yote au anakuwa na miradi hewa .

      Na wafadhili wengi hasa wazungu wameshitukia NGOs zinazo ongozwa na Wabongo na hawaziamini kamwe na kuna News za kutosha kwenye mitandao zinazo husu USANII WA NGOs za WABONGO na hi News zimetapakaa dunia nzima

      Kwa sasa NGO za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania na zinazo ongonzwa na wazungu ndizo zenye pesa na ndo zinazo aminiwa, NGO kama

      Care Internatina, Plan Internatinal, Word Vision, Oxfarm, Farm Africa, Africare, CRS, na zinginezo, Mkuu hizi NGOs zinapesa za kufa mtu na zinapata wazadhiri wengi sana na sababu kuu ni kwamba zinaongozwa na Wazungu na Makao makuu yao kidunia yako huko kwao, Kwa NGOs za Kibongo hali ya kifedha ni ngumu sana na nyingi hazina pesa,

      Na mkuu kwa mwanzo kupata pesa itakuwa vigumu sana na kama unaconectin na wazungu mojakwamoja hapo kidogo utapata pesa,

    7. RukaaJuu Final

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...